Baraza hawakuleta majibu yoyote ila tume ilioundwa na waziri mkuu ilifika shuleni na kuwahoji wanafunzi juu ya tukio lote lililotokea siku ya mtihani mpaka kusababisha baraza wafute matokeo hayo na kugundua kua ni usimamizi mbovu na mwalim kuhamisha kazi ya mwanafunzi mmoja kuwapa wengine na kusababisha majib kufanana na baraza kuamua kufuta matokeo sasa hapo mpaka sasa baraza hawajachukua uamuzi wowote ule kwa wale waliohusika juu ya hilo