Jamani Watanzania tuwe tunajenga utamadumi wa kitambua kazi za watu.
Hili la Flow Meter kila tunapolizungumza tusione aibu kutaja wazi kuwa liliibuliwa na Uchunguzi wa Gazeti la Uchunguzi la JAMHURI hadi Rais Magufuli akalisifia.
Nawatakia mjadala Mwema.
Balile
Safi sana kwa maelezo mazuri,hii nchi wachache wameila na kuimaliza.Wapinzani nawaunga mkono kwa harakati zao za kufichua huozo ila Nina mashaka sana na mheshimiwa Zito naona mala hii amekomaa kwelikweli kama mpinzani wa kweli kina bonus hang as a Sikh za nyuma alikuwa wapi?madudu yote alikuwa wapi? Sara hivi Raisi mzalendo wa kweli kivitendo amejitoa muhanga kupambana na huovu kwa nguvu zote lakini MTU kama zito anaibuka kuzuia juhudi za raisi,bila shaka kuna kitu Zito kakikosa hawamu hii.Watanzania wote tumuunge mkono raisi madamu tunaona wenyewe Nazi anayoifanya ya kutumbua bila kujali urafiki na MTU.Mimi naona Mungu ana mpango wa kuinusurucTanzania kupitia kwa JPM.
Nadhani wote walikua wanajua na ndio maana habari za PM kwenda bandarini zilipovuja na sms ikatumwa kwa wahusika ili waruhusu mafuta yapite kwenye flow meter, kama issue ingekua haijulikani basi hata sms isingetumwa cause mtumaji asinge tuma sms!Kwa hiyo usalama wa taifa,management ya bandari na top officials walikua hawalijui hili ?
Ndio namshangaa Balile anataka gazeti lao la Jamuhuri liwe acknowledge kama source ya taarifa hizi kisa Magufuli kawasifiaNadhani wote walikua wanajua na ndio maana habari za PM kwenda bandarini zilipovuja na sms ikatumwa kwa wahusika ili waruhusu mafuta yapite kwenye flow meter, kama issue ingekua haijulikani basi hata sms isingetumwa cause mtumaji asinge tuma sms!
Acha utahira we pimbi ...wapinzani waliposema kuwa bandari kuna uozo mlikuwa hamsikii? mpka kagame nae akayasema hayo hayo mkaona kuwa kamtusi mkwere ..sasa sahv mnakuja na polojo ..Wew ni mlemavu wa akili ,wapinzan gani wamefichua maovu, hilo sio swala la upinzani ,ni la maajaliwa, na jpm ,ndo maana kwa sasa wameshaanza kuweweseka maana walikuwa kwenye pyroll ,umesikia lini mbunge wa CCM au upinzani wamegusia swala la flow meter
Acha utahira we pimbi ...wapinzani waliposema kuwa bandari kuna uozo mlikuwa hamsikii? mpka kagame nae akayasema hayo hayo mkaona kuwa kamtusi mkwere ..sasa sahv mnakuja na polojo ..Wew ni mlemavu wa akili ,wapinzan gani wamefichua maovu, hilo sio swala la upinzani ,ni la maajaliwa, na jpm ,ndo maana kwa sasa wameshaanza kuweweseka maana walikuwa kwenye pyroll ,umesikia lini mbunge wa CCM au upinzani wamegusia swala la flow meter
Acha utahira we pimbi ...wapinzani waliposema kuwa bandari kuna uozo mlikuwa hamsikii? mpka kagame nae akayasema hayo hayo mkaona kuwa kamtusi mkwere ..sasa sahv mnakuja na polojo ..
A na B yote ni sawa....Mleta mada anaposema mafuta yaliyokuwa yanaingia nchini hayalipi kodi anakosea sana.
Kodi ilikuwa inalipwa ila sio kwa kiwango kinachotakiwa.
walichokuwa wanapinga wapinzani ni kuwaonea vidagaa na kuwaacha kambare ...mbona hakumtumbua aliye tuma msg?Kha wew mbona sasa wanapinga pale hatua za msingi zinapochukuliwa ,walikuwa wanatafuta kick za kisiasa ,au walikuwa kwenye payol ya flow meter
walichokuwa wanapinga wapinzani ni kuwaonea vidagaa na kuwaacha kambare ...mbona hakumtumbua aliye tuma msg?
Na ww ni Lumumba?Mh.. Wew nawe utajiita mpinzani ,kweli sasa vidagaa ni akina nani kwa mfano masamaki au
Hakuna mtu mbaya duniani zaidi ya mtu anaepinga kila kitu, kwake hakuna jema, lilojema ni alilofanya yeye tu, mtu wa aina hiyo ni mbaya sanaSasa mbona wapinzani waliposema Mkwere dhaifu mliwapinga? Wapinzani wasingeweza kusema kila kitu Mkwere alikuwa na madhaifu mengi hivyo hili la mita lilijumuishwa kwenye kauli moja ya mnyika "Rais Dhaifu" ambayo mliipinga
Wamaanisha awami hii anapokea hizo posho?!Ni Zito Kabwe ambaye tangu mwanzo alikataa kupokea posho za vikao vya bunge. Lazima mtu wa kawaida ajiulize anaishi kwa kutegemea nini lazima ipo namna. Sasa mrija huu unazibwa kelele amezianzisha. Viva Mheshiwa Rais ziba mirija yote ndio watu tutafanya kazi na tuishi kwa vipato halali.