gathii said:Nina simu (NOKIA E71) nimeletewa toka Australia lakini imekuwa locked kwenye mtandao fulani wa simu wa huko,ni mpya.
Nimejaribu kuipeleka kwa fundi mmoja (anaitwa SELE) mtaa wa Samora pale imemshinda.
Je,kuna mtu anafahamu wapi naweza kupata huduma ya ku-unlock hiyo simu?au nifanyaje?
weka bayana huyo sele alichokuambia ili uweze kupata useful comments, inawezekana network ni tofauti (band[800 - 900 mhz]) au hana compatible software
Wadau naomba msaada kwa yeyote mwenye kujua wapi naweza kupata huduma.
Nina simu (NOKIA E71) nimeletewa toka Australia lakini imekuwa locked kwenye mtandao fulani wa simu wa huko,ni mpya.
Nimejaribu kuipeleka kwa fundi mmoja (anaitwa SELE) mtaa wa Samora pale imemshinda.
Je,kuna mtu anafahamu wapi naweza kupata huduma ya ku-unlock hiyo simu?au nifanyaje?
Mtafute jamaa mmoja anaitwa Mwesiga pale samora juu ya emprees ukiulizia yeye ndiye mtaalamu wao!
ebu jaribu kutoa IMEI no ya simu na taja kampuni ya simu iliyoilock lock tuone hii nyezo ya online na bure kama inaweza kufanya kazi
kwa Australia hapa wanaonyesha kuna kampuni (Telstra, Singtel,Globstar,vodaphone hutchinson,One tel)
na wewe jaribu kutazama hapa Nokia unlock phone codes calculator software
NB
Njia i hii ya kunlock online unaweza kujaribu kama sikosei si zaidi ya mara tano. Ukifanya trial zote zikishindikana then inabidi ikawe unlocked kwa cable
Kaka nimeingia kwenye hiyo link imenileta kwenye website ya Nokia na kuna maelezo pale ila right now sina handset hapa,ila after 3-4 hours nitakuwa nayo nisaidie khttps://www.jamiiforums.com/newreply.php?do=newreply&p=1621249wanza IMEI namba ya simu unaipataje??lakini pia kwenye types za NOKIA sijaiona E71 ila nimeiona hiyo kampuni (ingawa wewe hukuiweka labda ulii-bypass) ni Singtel-Optus.
Nisaidie ili niweze kujua hiyo IMEI namba then nitajaribu kufata maelekezo nione wapi nitafika.
Wadau naomba msaada kwa yeyote mwenye kujua wapi naweza kupata huduma.
Nina simu (NOKIA E71) nimeletewa toka Australia lakini imekuwa locked kwenye mtandao fulani wa simu wa huko,ni mpya.
Nimejaribu kuipeleka kwa fundi mmoja (anaitwa SELE) mtaa wa Samora pale imemshinda.
Je,kuna mtu anafahamu wapi naweza kupata huduma ya ku-unlock hiyo simu?au nifanyaje?
Mtafute jamaa mmoja anaitwa Mwesiga pale samora juu ya emprees ukiulizia yeye ndiye mtaalamu wao!
l......lazima uwe na vga graphic iliyoenda shule na si CPU iliyoenda shule.
Mafundi wengi wameshindwa ku-meet hizo GPU specifications na ndo maana inakuwa ngumu kufanya local brute-force.Sidhani kama kuna aliyewahi kufanya local brute-force na akafanikiwa kama yumo humu jamvini basi ajitokeze. Yaani anunue machine nyingine yenye GPU spec hizo kwaajili ya ku-unlock only sl3!!!! haiingii akilini ni bora njia ya server bruteforce.
CalvinPower, DrPhone na wengine magwiji wa kutengeneza simu.
Unahitaji nini ili mtu uwe fundi mzuri wa simu?
1. Jitihada zako mwenyewe za kujifunza, pamoja na online materials?
2. Kwenda VETA kwa mafunzo? (kama wanatoa).
3. Kwenda CHuo Kikuu kwa shahada ya electronics, halafu kujiendeleza mwenyewe kwenye masuala ya ufundi
4. Kufudishwa n a mtu anayejua?
4. ????
Ningependa kujua kwani nataka kum-sponsor mtu fulani kwenye fani hii.
mkuu chakwanza ungempeleka chuo apate stashahada yake kama anapenda electonics itampa uelewa mkubwa sana kisha mpeleke akaechini ya fundi ajifunze kwa nadharia na vitendo hardware n software na mda simrefu atakuwa mtaalumu na akijituma kusoma solution mbalimbali asa kwenye forum za cm