Habar wana jf....jamani naomba kujua kama unawez kufungua profile lipya nacte kwa kutumia same index number za mtihani wa form 4 kwan profile lng nalolitumia now linazngua
jaman hata mm mpaka sasa nakuta wameniandikia "Now wait for second selection that will be released soon" inakuaje hapo ndugu maana kuna watu tayar taatifa zimewafikia kuwa wamekua selected one of the choice.nisaidieni hapo inakuaje

Mimi nakushauri usubir mpaka tarehe 12 ndo walisema watafungua kwa watu walio kosa selection so mpaka siku hiyoo ya tar 12 had 15 kwa uhakika zaid ndo utapata uhakika kama uapply upya au umechaguliwa so kuwa na subira ndugu mda na nafas bado ipo