hahahahahaMkuu usijaribu kufanya chochote hadi upate usimamizi wa mirathi. Hizo data muhimu utatakiwa uwashirikishe na wadogo zako au kaka zako.
From there tutakuelekeza mkuu
Hahaha atawazidi kete wenzake hyuhahahahaha
hahahaha umenichekesha sana aiseeHahaha atawazidi kete wenzake hyu
Imesha toka go ahead Na kikao chaa mirathi kimeshakaa na nitakuwa na ndugu zangu akiwepo bi mkubwa kama itafanikiwa kufunguliwa,so sifanyi mimi kama mimi pia ni msaada kwa bi mkubwa wetu kuhusu baaathi ya mambo.Mkuu usijaribu kufanya chochote hadi upate usimamizi wa mirathi. Hizo data muhimu utatakiwa uwashirikishe na wadogo zako au kaka zako.
From there tutakuelekeza mkuu
NI Aina gani ya simu kaka. Imefungwa kwa parten au password number ?Kiongozi ishu ni siriaz sana wala sio kuwazidi kete wenzangu,kunaa watu anawadai na wengine wanaomdai taarifa alikuwa akiweka kwenye email yake naa baadhi ya mikataba ndio tuna shida nayo hasa
tangia upigwe kibuti hata kuandika umesahauNgoja waje kukupa muonozo...
Cracks zimesha kwama kwa android kuanzia 8 na kuendelea mzee yani kuanzia android 8 na kuendelea cracks zinachemka hakuna cha miracle thunder , gsm alladin , infinity wala nini mzee.hizi crack app za kuflash si zinaweza kuread pasword bila kupoteza data...???
Taarifa zaidi zinahitajika hapa, simu ikiwa imezimwa wakati unaiwasha inawaka hadi mwisho kwenye wallpaper ya screen ndiyo inaomba password au inaomba password kwanza harafu ndiyo inawaka hadi mwisho?Ni tecno spark 2 imefungwa na password number
Inawaka kabisa mpakaa kwenye wallpaper ya screen ,ukiiwasha haiombi.Taarifa zaidi zinahitajika hapa, simu ikiwa imezimwa wakati unaiwasha inawaka hadi mwisho kwenye wallpaper ya screen ndiyo inaomba password au inaomba password kwanza harafu ndiyo inawaka hadi mwisho?
Kama inawaka hadi mwisho zoezi hilo linawezekana, ila kama inaomba password katikati ya kuwaka ndiyo imalizie kuwaka hapo haiwezekani.