Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,347
- 1,858
Mkuu yaani siwaelew hawaMiaka 80, kwani umebaka mkuu
Jamani hii sio fair hata kama nilikua situmii official whatssap...
Kwa wale watumiaji wa
1.yowhatssap
2.fm whatssap
3.gbwhatssap
4.whatssap plus
Nadhan wanaona kinachotokea sahivi
Binafsi mie kutumia hii whatssap ya playstore inanishinda haina features nazozitaka jamani nifanyeje ili wasin bann tena yaan ntumie namba nyingine nikisha download
Kwahyo nmefungiwa 80 years seriously?? JamaniView attachment 1124314
Mkuu daah shida tupu80 yrs utakuta hizo feature unazozitaka mkuu
Njoo mbele mbele ukuHuko kwingine panapatikana nini eti, niko nyuma nyuma mnooo
mimi nilipigwa ban ya masaa 24 nikaamua kurudi official whatsapp kwa namba ile ile wakakubaliHivi haya Unofficial whatsapp namba ikifungiwa hiyo namba unaweza itumia kufungulia Official whatsapp??
Huko kwingine panapatikana nini eti, niko nyuma nyuma mnooo
mimi nilipigwa ban ya masaa 24 nikaamua kurudi official whatsapp kwa namba ile ile wakakubali
Sina uhakika kwa ban ya 80years inakuaje
Mimi mbona hawajawah kunigusa na natumia yowhatssapJamani hii sio fair hata kama nilikua situmii official whatssap...
Kwa wale watumiaji wa
1.yowhatssap
2.fm whatssap
3.gbwhatssap
4.whatssap plus
Nadhan wanaona kinachotokea sahivi
Binafsi mie kutumia hii whatssap ya playstore inanishinda haina features nazozitaka jamani nifanyeje ili wasin bann tena yaan ntumie namba nyingine nikisha download
Kwahyo nmefungiwa 80 years seriously?? JamaniView attachment 1124314
Ooh kumbe ina mambo mazuri tehWachepukaji wanaijua vizuri sana
hahaha...huyu amebaka biashara ya watu!Miaka 80, kwani umebaka mkuu
80 yrs utakuta hizo feature unazozitaka mkuu
Youwatsap siku yetu inakujaMimi natumia yo WhatsApp mpaka sasa..siwezi tumia zile local ..nasubiri ban
Youwatsap siku yetu inakuja
Ni kweli naona limewakumba wa gb watsap tu..ila mwenzio akinyolewa zako tia maji tujiandae tuYoWhatsapp hili tatizo nafikiri bado halipo, maana natumia lakini sioni tatizo na tena jana tu nime-update new version natumia kama kawaida...