Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 994
Nipe somo kwa Dar naweza ipata wapi,kiasi gani na inafanyaje kazi,na ipi ni aina nzuri maana bila shaka zipo za aina nyingi kabla sjaenda google.AhsantehWifi cctv camera unaweza nunua mwenyewe na kuifunga mwenyewe
Ofcourse ila kama ungenielezea hapa ingekuwa vizuri sana mkuu ili kupigiana simu iwe jambo la mwisho kabisa maana naamini pia utakuwa umetangaza biashara yako kwa watu wengine pia.AhsantehKu gugo amazon na ebay haitoshi. Lazima upate maelezo ya fundi. Sio kama kununua redio tu halafu unafungua na kusikia muziki.
Nimepita huko ila hakuna kinachooleweka.Ahsanteh mkuuAmazon or eBay
Sawa mkuu shukrani.Duu mjomba technology ndio biashara yenyewe. Sasa tuweke technology hapa mtandaoni. Ila CCTV (closed circuit television video) zipo weka oda mpaka jumapili utaona streamed video katika android yako na utaweza kujua wateja wote watakao pata huduma katika saluni yako. Kama hakuna wateja pia utajua. Usiwe na wasi wasi kupiga simu kama kweli una shida hiyo. Mimi sio nanihii. ..
Naweza pata brand name ya hiyo kitu mkuu na unaweza ukawa unai monitor umbali gani mfano upo kwenye mishe nyingine km kadhaa huko na huku ukawa na access nayo pia inawezekana kui fix mahali ambapo haiwezi onekana na mtu ovyo kwenye angle flani.AhsantehTafuta IP cctv cam. Zipo hadi za kichina zinatumia wifi ndo unaweza monitor remotely. Kuna jamaa nimemuona ya kwake inatumia line ya simu pia ina WCDMA. Ila inatafuna data balaa ila iko poa cuz ni 720p so ina quality nzuri
Moja tu inatosha maana ni kwa ajili ya ndani tu huku nje sio swala sanaKa hz