Assalamu 'alaykum wa RahmatuLLaah wa
Barakaatuh
Tumefuatilia kila pahali na hivi sasa tumepata
taarifa kwamba mwezi haukuonekana popote
duniani leo Ijumaa 29 Sha'baan 1435H
(27-06-2014). Hivyo kesho Jumamosi
tunakamilisha siku thelathini za Sha'baan, na
Jumapili (29-06-2014) In Shaa Allaah itakuwa ni
siku ya kwanza ya mwezi mtukufu wa
Ramadhaan.
ALHIDAAYA inawaombea Ramadhaan ya kheri na
baraka nyingi, mchume thawabu tele, Swawm
zikubaliwe, dhambi zighufuriwe, na Allaah
Atutakabalie 'amali zetu In Shaa Allaah.
From
Alhidaaya.com