kufunga harusi ya kijeshi

kufunga harusi ya kijeshi

taratibu tu na mavazi utavaa ya kijeshi na syo lazima, unaweza kufunga 2 kawaida kwani inakuongezea nn? raha ya kombati za jeshi kwenye uwanja wa medani bana.
 
unajua maana ya shera ndugu yangu, mwanamke hata akiwa na manyota mia lazima avae shera
Sasa huo si ubaguzi ndugu? Kama demu ni mjeshi na men ni raia tu . Haiwezekani demu akavaa kijeshi naye akafanyiwa mambo ya kumwagiwa pombe na mbwembwe nyingine za sherehe za harusi ya kijeshi?
 
Sasa huo si ubaguzi ndugu? Kama demu ni mjeshi na men ni raia tu . Haiwezekani demu akavaa kijeshi naye akafanyiwa mambo ya kumwagiwa pombe na mbwembwe nyingine za sherehe za harusi ya kijeshi?
hakunaga hii ki2 na haitakaa itokee
 
Back
Top Bottom