Sio kweli labda wa gvt...sasa mtu yupo shule hairuhusu kiswahili sasa hapo una tafsiri vipi mkuuWengi sana, infact karibu wote.
Wanachofanya ni kutafsiri Kiingereza kuja Kiswahili. Hakuna reasoning, hakuna substantiation, hakuna critical analysis, hakuna majadiliano ya kina, hakuna urejeleaji wa somo katika maisha ya kawaida!!
Ni mwendo wa kugeuza lugha mbili juu chini na kumeza kama makasuku!!
shukran kaka!!! nini chanzo cha tatizo na njia za kutatua zinzweza kuwa ni zipi?Wengi sana, infact karibu wote.
Wanachofanya ni kutafsiri Kiingereza kuja Kiswahili. Hakuna reasoning, hakuna substantiation, hakuna critical analysis, hakuna majadiliano ya kina, hakuna urejeleaji wa somo katika maisha ya kawaida!!
Ni mwendo wa kugeuza lugha mbili juu chini na kumeza kama makasuku!!
Ukisema walimu wote unakosea, sasa mwalimu Wa hesabu anatafsiri vipiWengi sana, infact karibu wote.
Wanachofanya ni kutafsiri Kiingereza kuja Kiswahili. Hakuna reasoning, hakuna substantiation, hakuna critical analysis, hakuna majadiliano ya kina, hakuna urejeleaji wa somo katika maisha ya kawaida!!
Ni mwendo wa kugeuza lugha mbili juu chini na kumeza kama makasuku!!
mfano unafundisha history na unatumia english only!! si kazi yako kusoma tu notes au??? utaongezaa nini mkuuSio kweli labda wa gvt...sasa mtu yupo shule hairuhusu kiswahili sasa hapo una tafsiri vipi mkuu
..japo kwa uzoefu wangu hili lipo sana gvt school
Hapo bila kutafsir unadhan hizi shule za st. Kayumba kuna mtt atakaelewa???Wengi sana, infact karibu wote.
Wanachofanya ni kutafsiri Kiingereza kuja Kiswahili. Hakuna reasoning, hakuna substantiation, hakuna critical analysis, hakuna majadiliano ya kina, hakuna urejeleaji wa somo katika maisha ya kawaida!!
Ni mwendo wa kugeuza lugha mbili juu chini na kumeza kama makasuku!!
huyo sio wale wanatafsiri notes sio?aise kuna yule teacher nikiwa o level alikuwa anatufundisha agriculture module ya soil science sikuwahi ona ameingia na kitabu lkn alikuwa anafuta ubao mara nane kumi. siku ingine pindi linapigwa porini huko anaijua mimea yote na majina
mkuu tupo kujadili tuh!! we haujawahi kufundishwa na walimu ambao hawana uwezo wakufundusha?? bali wanaingia class kutafsiri notes au kuzisoma na kusepa?? nini kifanyike tukuze elimu yetu?/Hapo bila kutafsir unadhan hizi shule za st. Kayumba kuna mtt atakaelewa???
Hao wanafunz wanaokuja sekondari IQ zao zip chini sanaaa
Hata kutamka neno la kingereza ni ishu
Utamfundishaje mtt kama huyo hata kusoma sentens ya kingereza hawezi??
IF IT AINT BROKEN DONT FIX IT
ww mwenyew umefundishwa na hao hao walim ambao leo unawaponda kuwa wanatafsiri notes
DONT HURT THE HANDS THAT FEEDS U
Walim wanafanya kazi kubwa sana katika jamii ya ss
Nyie wazaz mnazalisha watt wenye uwezo mdogo halaf leo hii kuwalaumu wao hawajui kufundisha
Bas sawa...!nini kifanyike tukuze elimu yetu?/
Mkuu tutumie kiingereza kwa ushauri wangu. Kiswahili tutaongea mtaani. Kama wakenya mtaani wanaongea kiswahili, shuleni na maofisini kiingereza. Kwanini? Kiingereza ndio lugha ya dunia, tukubali au tukatae hatukikwepi.duh!! mkuuu tuanze na wewe tutumie kipi??
No somo kama Agriculture, Commerce na Biology yanafundishika hadi raha. Ila njoo kwenye Physics ni shida.huyo sio wale wanatafsiri notes sio?
tumetusua kwa jitihada binafsi hasa level ya sekondary most of teachers hawajui kabisa kufundisha.wengi wanajua bahna!! we pia si umefundishwa na mwalimj