Ila ilavyoonekana, hawa hawajafumaniwa. Huwezi kufumaniwa ukawa at ease namna hiyo. Huyo mama anapata wapi ujasiri wa kumwekea mkono jamaa?? Hii inaweza kuwa bongo movie
unaweza kukuta ni wana jf
great thinkers hao lol
mmmh mzeee anatia huruma huyo! wizi mbaya bwana.
unaweza kukuta ni wana jf
great thinkers hao lol
huyu mzee namfahamu ni wa arusha sekei na hiyo gest iko kijenge alifumaniwa na mke wa mpangaji wake,