Hapa unaongea tuu lakini siku ikitokea hua mnavuaga nguo nyie kwa kupanikiMimi nikimfumania mme wangu wala sifanyi chochote kwanza nitazidisha mapenzi nabadili na style za kitandani atajihukumu mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Give me that chance.Mimi nikimfumania mme wangu wala sifanyi chochote kwanza nitazidisha mapenzi nabadili na style za kitandani atajihukumu mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi style penda ya kufinyia ndani ..Mimi nikimfumania mme wangu wala sifanyi chochote kwanza nitazidisha mapenzi nabadili na style za kitandani atajihukumu mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ex wako alikuwa wa dar si bureNilishawahi kumfumania ex boyfriend wangu na mwanamke wake wakiwa wamekaa kwenye benchi aiseee niliwachezeshea kichapo mwanamke alitoka nduki nene fasta alipanda boda boda mwanaume yule nilimpiga mateke sijui nilipata wapi zile nguvu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huwezi amini nilipata nguvu za ajabu sana mpaka watu wa pembeni walishindwa kunishika.
Unasema tu sababu hayajakukuta...siku ikitokea utafanya kitu ambacho hukuwahi fikiria.Mimi nikimfumania mme wangu wala sifanyi chochote kwanza nitazidisha mapenzi nabadili na style za kitandani atajihukumu mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda useme alikua mvulana co mwanaumeNilishawahi kumfumania ex boyfriend wangu na mwanamke wake wakiwa wamekaa kwenye benchi aiseee niliwachezeshea kichapo mwanamke alitoka nduki nene fasta alipanda boda boda mwanaume yule nilimpiga mateke sijui nilipata wapi zile nguvu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifumaniwa unakua hauna nguvu labda uwe haumtaki au umemchoka huyo mwanamke ila yy ndo anakufata fata.
Lakini alikuwa wa darMkuu huwezi amini nilipata nguvu za ajabu sana mpaka watu wa pembeni walishindwa kunishika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haa haa haa Sasa hapo jamaa alikua anawadateUkifumaniwa unakua hauna nguvu labda uwe haumtaki au umemchoka huyo mwanamke ila yy ndo anakufata fata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hivyo tena nilimuaga nasafiri lkn roho ilisita kusafiri siku ile.
Wanaume wa pwani wanafanana