Kufuli

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2011
Posts
566
Reaction score
83
:nono::nono:JE YAWEZEKANA KUWA SULUHISHO KWA VIBAKA?
 

Attachments

  • 55.jpg
    59.8 KB · Views: 171
Kuingia kwa wingi kwa simu za mchina na kuwa bei nafuu ndio imekuwa suluhisho kwa vibaka.Kwani mtu anaona kwa nini anunue mkononi wakati anajua hata dukani atapata kwa bei poa. Pia hata kibaka mwenyewe anaona kwanini arisk maisha kwa sim zilizoshuka bei.
 
Kufuli la nini kwenye simu ya mchina kama si kujibebesha mzigo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…