amini usiamini, matofali unayoyaona ni kama support ya geti la kutokea magari stendo ya daladala Ubungo, kila gari hutozwa kati ya shs 500-1000 kutegemeana na ukubwa lakini hali ya geti ndiyo hiyo............HII NI KWA TZ TU.......[/QUOTE]
HAPO KWENYE RED
CLOUDS FM WANASEMAGA ''MADE IN TANZANIA'' MIE NAONGEZEA ''KWA HISANI YA CCM''