Wafanyakazi wana viongozi wao lakini nashangaa wamekaa kimya wakiona baadhi ya wafanyakazi wakisimamishwa na kufukuzwa hovyo na wakuu mbalimbali wa serikali .je nani anawatetea na kuwasimamia hawa wanaofukuzwa.
Acha ukiazi wewe!
Kwahiyo hivyo vyama vya wafanyakazi vipo kutetea wezi, wabadhirifu wa mali za umma pamoja na wazembe???
Ifikirishe akili yako kidogo!!!
Siamini katika vyama vya wafanyakazi hasa Hivi vya kisasa namkubali kiongozi mmoja aliyekuwa anawatetea wafanyakazi wa trl alikuwa mwiba kinoma hadi alipokufa katika mazingira ya kutatanisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.