Kufuatia Uharamia Mkubwa Uliofanywa na Dola Dhidi ya Wananchi, TLS Iandae Mkutano wa Wadau Mbalimbali Juu ya Hatua Za Kuchukua Dhidi ya Wauaji

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
6,512
Reaction score
15,098
Kwa uharamia na ushetani mkunwa uliofanywa na watawala dhidi ya wananchi, ni lazima wadau wote, wapigania haki wote, wazalendo wote, tuungane kwaajili ya kutafua njia sahihi za kuwawajibisha wauaji na wadhulumaji wote wa haki za wananchi:

1. Sote tunajua kuwa watawala wamedhulumu haki za wananchi kuwapata viongozi wanaowapata kupitia uchaguzi. Walioenda kwenye vituo vya kupigia kura hawafiki hata milioni 3 kwa nchi nzima lakini bila aibu wanasema eti walienda milioni 32, na karibia wote (98%) wakamchagua Samia. Sote tunajua ni uwongo mkubwa ambao hata mwendawazimu hawezi kudanganyika. Kuna wasimamizi wa vituo vya uchaguzi ambao wapo tayari kutoa ushahidi jinsi ushetani ulivyofanyika. Msimamizi mmoja wa kituo cha uchaguzi jijini Mwanza, anasema kwenye kituo chao, mpaka saa 5, walioenda kupiga kura walikuwa 3 tu. Mkurugenzi alipoenda kwenye kituo chao, akawaambia wao wasimamizi wa uchaguzi wachukue makaratasi waanze kutick kwa Samia na wagombea wote wa CCM. Waliifanya hiyo kazi toka saa 6 mchana mpaka saa 10 jioni.

2. Baada ya kuiba na kupora uchaguzi, na watu kuonekana kupuuza uchaguzi, watawala waliingiwa na hasira na kisha kuua kila waliyeamini hawakubali. Waliwaua walioandamana na hata waliobakia majumbani.

3. Kabla ya uchaguzi, watawala waliwateka, waliwaua, waliwapoteza na kuwabambikia kesi za uwongo, wote waliokataa kuwa machawa wao.

4. Sasa hivi, wauaji wanawakamata watu na kuwafungulia kesi za uhaini walionusurika.

Ushetani huu tusiuache upite hivi hivi. Tutumie njia zote kuhakikisha hawa wauaji na wadhulumaji wa haki, wanaadhibiwa sawasawa na ushetani wao.

Mapendekezo:
TLS kama taasisi ya wanasheria inayoangazia masuala ya haki, iandae mkutano wa wadau, ikiwashirikisha taasisi za kutetea haki, vyama vya siasa, taasisi za dini, wawakilishi wa makundi mbalimbali ya kitaaluma, makundi ya waathirika wakubwa, taasisi mbalimbali za haki za binadamu za umoja wa mataifa, Umoja wa Ulaya, Umoja wa Aftica, SADC na EAC, n.k. Lengo kuu liwe kujadili kwa kina juu ya yaliyotokea, na hatua za kuchukua dhidi ya wahusika wote.

Wananchi tuchagie gharama za maandalizi ya mkutano huo mkubwa wa kutetea Taifa letu dhidi ya mahayawani wanaoliharibu kwa matendo yao ya kishetani ya kudhulumu haki za wananchi.
 
Hawataruhusiwa kufanya huo mkutano.
 
Hapana TLS Wanapaswa.kungoza maandamano
 
Huo mkutano kibali chake atatoa nani?
 
Mkutano huo usisite kutoa tamko dhidi ya watu walioacha maandamano wakageuka kuwa majambazi wa kuvunja maduka, kuchoma vituo vya mafuta, kuiba na kuchoma magari..nk
 
Back
Top Bottom