Kufuatia kuteuliwa na Rais Magufuli kuwa mbunge, Profesa Kabudi ashauriwa na wasomi

Hivi lini baadhi ya wanajamiiforum mtakuwa kifkra? Tafadhari wachangiaji mjitaidi kuzingatia dhima kuliko kuishia kusahihisha au kukosoa makosa ya kisarufi na uandishi! We are not writing books in this forum!!! Tuache kujifanya wahariri kumbe hatuna uelewa wa mambo!!

Wengine wanakuwa kwenye siku zao!tuwasamehe tuu!AkianZa kosoa herufi kwa hoja hii nzuri unadhani anakumbwa na nini??msamehe tu Ajuza wa watu cc Faiza Foxy
 
Ningepata Nafasi yakumshauri mtu ninayemuheshimu leo hii kabla ya giza halijaingia, ningeanza na Rafiki yangu wa siku nyingi Mbobezi wa sheria, na Mwalimu wangu Prof, Palamagamba Kabudi.

Ningemwambia aitazame sana nafasi ya uteuzi wake aliyoteuliwa ya ubunge, kama sehemu ya jaribu katika maisha yake. Prof, Kabudi kuteuliwa kwako kuingia kwenye bunge bubu na kiziwi, bunge kipofu na dhaifu lenye kufuata matakwa ya kiimla ya mtu mmoja dhaifu, ni jaribu moja zito sana kwako na ni lazima ulishinde kwakuiangalia tena nafasi yako, umahiri, heshima na tajiriba uliyojijengea kwa wanazuoni wa Tanzania na Jamii nzima ndani na nje ya mipaka ya nchi yetu.

Labda rafikio na mwanazuoni mwenzako Prof. Kitila Mkumbo na Mzee wetu Joseph Butimu watakuwa wameteta na wewe jambo kuhusu hili jaribu kwako.

Huu utakuwa ni mpango tuu wakuzika vilio vya katiba mpya iloyosheheni maoni ya wananchi.
Nimehuzunika na nimekuonea huruma mno Prof. Kabudi. Legacy yako baba utaweza kuitunza??

C&P
Davido Ambrosihni Jr

Sijawahi kuona wala kusikia Dunia hii mtu msomi akijiita mwenyewe msomi, bali watu baki ndo humuita msomi, sasa nakushangaa wewe, kwani kulikuwa na umuhimu gani wa kujiita msomi, si ungetoa tu ushauri bila ya kujiita msomi?
 
Tanzania hakuna wasomi kuna wakremishaji
Ni kweli mkuu. Tungekuwa na wasomi tusingechimbiwa kisima cha kusukuma maji kwa mkono na Wachina. Tungekuwa na uwezo wa kutengeneza hata sabuni za kuogea za kwetu, nguo za kwetu. Ni aibu kununua vitenge vya DRC, Ivory Coast, Gabon, Nigeria, Senegal na hata Burundi. Aibu kuliko Aibu jamaniiii. Kila msomi hutumikia taaluma yake. Tanzania nani mwanataaluma? Ipi? Kwa lipi? Wote wasaka tonge tuuu....
 
Hivi lini baadhi ya wanajamiiforum mtakuwa kifkra? Tafadhari wachangiaji mjitaidi kuzingatia dhima kuliko kuishia kusahihisha au kukosoa makosa ya kisarufi na uandishi! We are not writing books in this forum!!! Tuache kujifanya wahariri kumbe hatuna uelewa wa mambo!!

= tafadhali

Ni matumaini yangu kuwa siku nyingine hutarudia kosa la kijinga kama hilo.
 
Unadhihirisha upeo wako kuwa u mrefu kadiri ya urefu wa pua yako.

Ungejibu swali langu kwanza halafu ukaweka nasaha zako.
Sasa hapo mwenye upeo duni sijui ni nani? Asiyejua kuwa uandishi wa Lugha unazingatia professionalisms , mtaalam wa lugha hawezi kuwa na makosa kisarufi tofauti na professionals wengine ambao kiswahili is a secondary language na hawaitumii kimaandishi?

Harafu huelewi practice ya Lugha, unajua maharage? au maharagwe ipi sahihi? hijui mazingira katika Lugha! Mkurya msomi akiandika kwa kiswahili sentensi yenye R badala ya L inakubalika huko kwao, vivyohivyo mnyakyusa akindika sentensi zote L hata ambapo panahitaji R si ajabu huko kwao ni okay! Isipokua wakiwa ma linguist labda
 
Namuonea huruma sana,taaluma yake kaiweka rehani. Sasa hivi ni kupiga makofi ata kama mbunge wa ccm kaongea pumba.
 
Uandishi huashiria upeo wa mtu na unaonesha uozo wa elimu aliyoisomea.

Ukisikia kusomea ujinga ndiyo huko.

Nnashangazwa zaidi na anaetetea ujinga.
Tuichukuliaje elimu ya rais kupitia maandishi yake na maongezi yake kwa lugha "aliyosomea"?
 
Ningepata Nafasi yakumshauri mtu ninayemuheshimu leo hii kabla ya giza halijaingia, ningeanza na Rafiki yangu wa siku nyingi Mbobezi wa sheria, na Mwalimu wangu Prof, Palamagamba Kabudi.

Ningemwambia aitazame sana nafasi ya uteuzi wake aliyoteuliwa ya ubunge, kama sehemu ya jaribu katika maisha yake. Prof, Kabudi kuteuliwa kwako kuingia kwenye bunge bubu na kiziwi, bunge kipofu na dhaifu lenye kufuata matakwa ya kiimla ya mtu mmoja dhaifu, ni jaribu moja zito sana kwako na ni lazima ulishinde kwakuiangalia tena nafasi yako, umahiri, heshima na tajiriba uliyojijengea kwa wanazuoni wa Tanzania na Jamii nzima ndani na nje ya mipaka ya nchi yetu.

Labda rafikio na mwanazuoni mwenzako Prof. Kitila Mkumbo na Mzee wetu Joseph Butimu watakuwa wameteta na wewe jambo kuhusu hili jaribu kwako.

Huu utakuwa ni mpango tuu wakuzika vilio vya katiba mpya iloyosheheni maoni ya wananchi.
Nimehuzunika na nimekuonea huruma mno Prof. Kabudi. Legacy yako baba utaweza kuitunza??

C&P
Davido Ambrosihni Jr
Unamuonea wivu Profesa wako eh? Ulidhani atakaa na kufia kwenye chaki, no practical experience, bookish knowledge and wishful thinking. Sasa mwenzio kaukata, kapata nafasi ya kuwatumikia wananchi kuliko kubaki theoretocian in an ivory tower. Mwenye wivu ajinyonge.
 
Kama wewe kweli ulikuwa mwanafunzi wa "Professor" kama ulivyojaribu kutuaminisha ina maana u "msomi" wa chuo kikuu.

Nnawauliza wanajamvi:

Hivi kweli mwanafunzi wa chuo kikuu Tanzania anaweza kuandika "ashauliwa" badala ya "ashauriwa"?

If such are the priests, God bless the congregation.
sasa umekosoa nn hapo ebu jaribu kukosoa vitu vya msingi yaan unakosoa ata typing error ebu jitathimini,kingne angalia hoja au mahudhui ya mtu na sio kukimbilia kukosoa tu
 
Back
Top Bottom