Kufuatia kuchelewa kwa ajira, ninaishauri serikali ifanye yafuatayo kwa wahitimu wa ualimu sayansi

Abuwhythum

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
837
495
Ninaishauri serikali ifanye yafuatayo kwa wahitimu wa Ualimu Sayansi na Hisabati kwa mwaka 2015
1. Waende JKT miezi mitatu kuanzia March - May 2017

2. Wapatiwe mafunzo upya kwa muda wa miezi mitatu (June- August), ili wajikumbushie walichokisoma huko vyuoni maana ni muda mrefu umepita toka wahitimu masomo yao.

3. Wabaki tena mtaani kwa miezi mitatu (September- November)

4. Serikali itangaze ajira zao mwanzoni wa December na kuwapangia vituo vya kazi ili mapema JANUARY 2018 walipoti kazini.

Hapo watakuwa na nidhamu ya kutosha hata mtu apangiwe wapi ataenda tu.

Jamani ni utani tu, japo serikali yetu hashindwi kufanya chochote.

Mungu atunusuru!
 
Back
Top Bottom