Inawezekana Bila ya gharama yeyote fanya hivi. Inatakiwa vitu viwili ili kupata unlock codes
1. IMEI number piga *#06#
2. Provider ID - Angalia nyuma ya simu baada ya kuondoa betri, Imeandikwa hivi V6xx-xxxZ1 Tuma imei namba na provider Id kwenda 0687387545 sms utapata unlock code bure