One and Only
Senior Member
- Mar 7, 2011
- 161
- 62
Atapata ndege, na atarudi anatembea kwa miguu yake...Nadhani hadi anapokomalia hivyo ujue ana imani ya kutosha kuhamisha milima!Habari zenu great thinkers, naomba msaada wa mawazo mwenzenu, nina bibi yangu amegoma kula na hataki kuongea na mtu yoyote hapa nyumbani kisa kijijini kwao wazee wenzake wote wameenda kupata kikombe cha babu kasoro yeye kwa hiyo anataka kupelekwa loliondo. Mtu mwenyewe anamatatizo makubwa ya miguu, je kuna ndege za kwenda loliondo na kama zipo tutapata wapi? Apelekwe yaishe maana imekuwa taabu na hawezi kusafiri mwendo mrefu na gari anaumwa sana miguu. Nawasilisha janvini, msaada wenu jamani
nikiwa samunge alikuja pilot mmoja na ndege ndogo nadhani inachukua watu watano ile anaitwa babu sambeke akatua na ile ndege barabarani dah raia tuliburudika saana maana 2 days tuko pale kwenye foleni ni sisi na wasonjo tuu na mbuzi choma zao. uwanja wa ndege upo nyuma ya mlima sehemu inaitwa wasso. baada ya hapo unachukua gari sijui ni bei gani.
Habari zenu great thinkers, naomba msaada wa mawazo mwenzenu, nina bibi yangu amegoma kula na hataki kuongea na mtu yoyote hapa nyumbani kisa kijijini kwao wazee wenzake wote wameenda kupata kikombe cha babu kasoro yeye kwa hiyo anataka kupelekwa loliondo. Mtu mwenyewe anamatatizo makubwa ya miguu, je kuna ndege za kwenda loliondo na kama zipo tutapata wapi? Apelekwe yaishe maana imekuwa taabu na hawezi kusafiri mwendo mrefu na gari anaumwa sana miguu. Nawasilisha janvini, msaada wenu jamani
nikiwa samunge alikuja pilot mmoja na ndege ndogo nadhani inachukua watu watano ile anaitwa babu sambeke akatua na ile ndege barabarani dah raia tuliburudika saana maana 2 days tuko pale kwenye foleni ni sisi na wasonjo tuu na mbuzi choma zao. uwanja wa ndege upo nyuma ya mlima sehemu inaitwa wasso. baada ya hapo unachukua gari sijui ni bei gani.
Asante sana mkuu, ntayafanyia kazi maelezo yakonikiwa samunge alikuja pilot mmoja na ndege ndogo nadhani inachukua watu watano ile anaitwa babu sambeke akatua na ile ndege barabarani dah raia tuliburudika saana maana 2 days tuko pale kwenye foleni ni sisi na wasonjo tuu na mbuzi choma zao. uwanja wa ndege upo nyuma ya mlima sehemu inaitwa wasso. baada ya hapo unachukua gari sijui ni bei gani.
Auric Air wanasafari za kibiashara kati ya Dar na Loliondo; na Mwanza Loliondo. Niliambiwa Mwanza/Loliondo/Mwanza ni laki tano na thelathini elfu - nadhani. Wapigie utapata unafuu kuliko kwenda arusha na kulipia helikopta
Hujasema uko wapi? Kama uko Mwanza kuna ndege ndogo za AURIC AIR zinaruka mara mbili kwa wiki kwenda kwa Babu. Unafanya booking kabla na namba ikitimia mnaenda na ndege inawangoja mnapata kikombe halafu mnarudi. Sina uhakika wa gharama kwa mtu mmoja.