Waajiri wengi hasa PSRS wanataka mtu mwenye uelewa mpana. Ndio maana utumishi inatumia aptitude tests na nyingi unakuta maswali ni Cross cutting kuanzia finance, ICT, research, statistics, literature etc maana yake ni lazima uwe mtu mwenye uelewa mpana.
So jitahidi kuwa updated hasa mambo ya msingi, usiwe busy kwenye movie na Instagram ila at least kila siku jifunze jambo jipya kwenye ulimwengu wa kitaaluma mfano emerging softwares za kutumika kwenye finance, kujua research inakuaje kwenye context ya finance, kufahamu hizi basic aptitudes za finance kma compound interests, simple interests, NPV etc
Soma magazeti serious kama the citizen, ripoti za CAG, miongozo ya NBAA, sheria na sera zinazogusa public finance n.k