Kufanya usafi majumbani

Kufanya usafi majumbani

amiri hasan

Member
Joined
May 9, 2018
Posts
8
Reaction score
4
Habari, wana jf nafanya kazi ya kufua nguo,kufanya usafi majumbani kuosha vyombo, namfata mteja alipo popote pale kwa maelezo zaid napatikana kwa no 0674030025. Ahsanten
 
Kwakua forums, hii inasomwa mahali popote Tanzania, ni vizuri, ukajotambulisha upo mji gani, na kwa mijini mfano: Dar, ni vizuri ukaeleza unapatikana Kigamboni, Mbezi, ama Temeke, ili mtu anaekaa eneo lingine atadhimini
Mfano: wewe ni mkazi wa Mbezi Luis, kuitwa na mtu anae ishi kigamboni, inafaa na garama inakuaje.
 
Napatikana dar mbezi mwisho na pia nimeweka apo mawasiliano ikiwa MTU atanihitaji bac atanipigia cm
 
Back
Top Bottom