Kufanya mauaji kunaweza kuathiri tabia ya mtu?

Kufanya mauaji kunaweza kuathiri tabia ya mtu?

Mmmh ana matatizo ya kisaikolojiaa.Hapo ni Personality Disoreder inamtatiza if it was BPD asingekuwa katika level hiyo ni NPD kama alivyosema mdau Detective J...Alikosa mapenzi wakati mdogo so akajichukia mwenyewe kwanza...Na since hajawahi kujipenda wala kujikubali kumempelekea kukosa upendo kwa wengine ....Wengine nje mnaweza kuona she looks okay ila utu wake wa ndani ndio umeharibiwa toka akiwa mtoto.Na amekuwa akiona hivyo ni sahihi ....Unless apate councelling ndio taratibu ataanza kupona na kuwajali watu wengine.
But mdau, update hakuna dawa , sana sana watu wenye NPD wanajifunza njia nzuri za kuwarubuni watu na kuwaumiza vibaya sana. As long umri unazid kusogea ndio wanaendelea kuwa wabaya zaidi.
 
NPD chambua Kwa kina
NPD ( Narcissist personality disorder). Ni aina ya ugonjwa wa akili ambao humfanya mtu kuwa na ukosefu wa hisia ya kujitegemea ( kama vile hisia za kulia, huruma, furaha, kupenda, kukubali n.k).

Binadam wengi wa kawaida tumekuwa na uwezo wa kufeel hisia kama huruma,kupenda, aibu,furaha,majonzi. Wenye NPD hawana, na hawana uwezo wa kuonyesha hizo hisia.

Hali ambazo wana zi feel, ni hasira( haswa pale wakipingwa au wakihis kuna mtu bora zaidi yao so attention yote inaenda kwa mtu aliyemzidi, huchanganyikiwa na kupata hasira,wata fanya lolote chochote ili ile attention ije kwao, iwe imepatikana vibaya (kwa sifa za umalaya, wizi,umbea , kuua , unzinzi) au imepatikana vizuri( amesaidia, anapenda watoto, kafaulu kuliko mwenzake).

Watu wenye NPD wanaamini wao ni bora au maalum kuliko mtu mwingine. Kokote walipo hata kama ni wabov darasani, wabovu mtaani, bongo zao huwa zinatengeneza illusion au ulimwengu ambao wao ndio bora. So huuamini uwongo wao mpaka mwisho. Na akitoe mtu wa kuupinga basi huchukuliwa kama adui mkuuu, na huingia moja kwa moja katika kuchafua jina la huyo mtu kwa kutumia uwongo, mpaka huyo mtu atakapo kata tamaa.
 
Kwenye kesi ya huyu mwenzetu, huyu dada nje ni wa kawaida lakin ndani ni kiumbe kingine.

Haoni aib kutishia kuua,kufinya watoto, kuleta maumiv kwenye maisha ya watu, ni kwa sababu anaona raha watu wakiteseka ,wakipata maumiv ndio raha yake. Pia ile anapata attention( ndio chakula kikuu cha watu wenye NPD)

Attention iwe mbaya au nzuri kwake ni chakula.
 
Ukimtisha atishiki.....'

HYO YA KWANZA zingne subiri waje
Shinbet18 has received your opinion in his office.Don't hesitate to show your contribution when you are asked to. Thanks
 
Ukimtisha atishiki.....'

HYO YA KWANZA zingne subiri waje
Shinbet18 has received your opinion in his office.Don't hesitate to show your contribution when you are asked to. Thanks
 
Dahh mada imenisisimua kuna mtoto alikua anapata kipondo hatari na mama ake anaonyesha kumjali mdogo wake wa 2yrs. Tulijaribu kumsihi aache naona ameacha acha kwa sasa. Je Detective J inakuaje kama mtoto amefanyiwa hyo trauma lolote baya at the age ya miaka 3 labda na 4 then mzazi akaamua kubadilika na kumfanyia wema na upendo na kua karibu na mtoto je itakua too late??
 
Yes kuna uwezekano wa akawa sawa lakin sasa atakuwa amepunguza sana hiyo hali ukubwani. NPD wamegawanyika ktk makundi mawili. Kuna overt narcissist( hawa hawajifichi wanakuonyesha waziwazi kuwa ni wakatili, wezi malaya, wanatukana,wanaumiza watu, na hawajali).
Covert narcissist ( hawa ndio wabaya zaidi, hujifanya wema nyuma ya pazia , ama kujenga taswira flan mbele ya jamii,ambayo itakubalika. Lakin nyuma ya pazia ni shetan, wale walio karib yake atawafanyia unyama ulitokukuka, maovu ,ukatili. Na wao hawataki maovu yao yasemwe, iwapo ikitokea mmoja akasema,basi huwekwa kwenye kundi la adui mkubwa, na atambaziwa umbeya, habari mbaya mbele ya jamii ili jamii hiyo imuone kuwa yeye ndie mbaya.)

Mzaz ataweza kuokoa hali hii iwapo akibadilika na kuanza kumpa mtoto matunzo mazuri, ila isifikie miaka 10. Ikivuka miaka 10 huku mzazi akiendelea kuwa katili kwa mwanaye basi ukubwan huyo mtoto atakuwa katili kwa wengine.
 
Unataka tumdiskas kichaa hapa. Kama yule aliyeleta uzi wa toilet pepa na kutawaza kwa maji. Yaani we were discussing shit
 
Yes kuna uwezekano wa akawa sawa lakin sasa atakuwa amepunguza sana hiyo hali ukubwani. NPD wamegawanyika ktk makundi mawili. Kuna overt narcissist( hawa hawajifichi wanakuonyesha waziwazi kuwa ni wakatili, wezi malaya, wanatukana,wanaumiza watu, na hawajali).
Covert narcissist ( hawa ndio wabaya zaidi, hujifanya wema nyuma ya pazia , ama kujenga taswira flan mbele ya jamii,ambayo itakubalika. Lakin nyuma ya pazia ni shetan, wale walio karib yake atawafanyia unyama ulitokukuka, maovu ,ukatili. Na wao hawataki maovu yao yasemwe, iwapo ikitokea mmoja akasema,basi huwekwa kwenye kundi la adui mkubwa, na atambaziwa umbeya, habari mbaya mbele ya jamii ili jamii hiyo imuone kuwa yeye ndie mbaya.)

Mzaz ataweza kuokoa hali hii iwapo akibadilika na kuanza kumpa mtoto matunzo mazuri, ila isifikie miaka 10. Ikivuka miaka 10 huku mzazi akiendelea kuwa katili kwa mwanaye basi ukubwan huyo mtoto atakuwa katili kwa wengine.
Shukrani mkuu nimepata somo kubwaa
 
Back
Top Bottom