Hongereni nyie wachache, maana hiyo ingekuwepo basi tusingeona malalamiko humu kila leoHapana mkuu..
Hizi mambo hata kwa sie watoto wa wahenga vipo sana....
wachache tu ndio wanashindwa lielewa hilo eidha hawajui ama hakuna mapendo ya kweli
HahahaMajangaa mm mpaka nibembelezwe ndo nakusamehe
Tatizo ni wahusika wenyewe, sio kila swala ni lakufungulia uzi, izo uonazo wewe pengine ni stori tu za kutungwa, na wachache wenye hulka ya kuposti kila jambo watalokutana nalo badala ya kukaa chini kuyajenga yalio mema.Hongereni nyie wachache, maana hiyo ingekuwepo basi tusingeona malalamiko humu kila leo
Sio wewe bhnNajua ni mimi. Usiogope, njoo tu mama.
Ningekupa namba ya wifi yako umuulize anavyo dekezwa na mimi...Hahaha
Ila kuna wanaume wanajua kudekezaaa!!!
Lakini hata kwenye jamii tunazoishi tunaona uhalisia ulivyo!!! Wengi hutoa tunda kama wajibuTatizo ni wahusika wenyewe, sio kila swala ni lakufungulia uzi, izo uonazo wewe pengine ni stori tu za kutungwa, na wachache wenye hulka ya kuposti kila jambo watalokutana nalo badala ya kukaa chini kuyajenga yalio mema.
Tuwe na utashi!!...
Tunda ni wajibu ndio kwa yule anaedeserve..Lakini hata kwenye jamii tunazoishi tunaona uhalisia ulivyo!!! Wengi hutoa tunda kama wajibu
Sio wewe bhnNajua ni mimi. Usiogope, njoo tu mama.
Sio wewe bhnNajua ni mimi. Usiogope, njoo tu mama.
Wala mm hakuna kitu sikipendi kama dudu labda huyo mwanaume niwe nimempenda nusu kufaa bila hivyo snaga hamu na dyudyuHahaha wacha mujue tuu Demiss
Kizuri zaidi tunajua hata nyie dudu ndio ugonjwa wenu, ikitokea mwanamke akalikosa dudu uwa anakuwa haeleweki, chuki chuki muda wote, mkali n.k
Lakini akisha pata dudu, anapona ha ha
Yan sio kwa mahaba alafu niwe nampenda uwiiiii nitaongea maneno yoteeHa ha Demiss umefikishwa kwenye ulingo wako, wapenda sana wewe hizi mada haha nadhani alae kitumbua hicho anafahidi sana
Hao ndo ugonjwaa wangu mwanaume anakudekeza mpaka unaona bustan ya eden imerud tena bongolandHahaha
Ila kuna wanaume wanajua kudekezaaa!!!
Dakika 45?Ndio njia yangu mkuu ninayotumia kuomba msamaha alafu ukizingatia kuwa situmii kilevi chochote ,hivyo naisugua hiyo puchipuchi vizuri sana,kila mechi natatumia dk 45 coz nakomaa mpaka na v4,baada ya hapo nakuwa nimesamehewa makosa yooote ya duniani labda akhera!