Kufanya mapenzi( Ngono) siyo dhambi.

Uko sahihi.dhambi ni kanuni za wanadamu na ni tofauti na uumbaji wa Mungu.Mungu aliweka uumbaji wake hivi,kubalee kwa mwanaume na kuvunja ungo kwa mwanamke.Ukisha balehee na mwanamke akivunja ungo huo ndio ufunguo Mungu aliouweka wa binadamu kujamiiana hizo nyingine ni mbwembwe za watu.Wewe kama unajiweza kula vyombo uwezavyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna watu wenye uelewa mkubwa hapa JF basi huwezi muacha Zero IQ
Usiniulize kwanini ila ukiiuliza kwanini nitakujibu kwa facts
 
Nabii Tito uliishatoka Rumande?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…