Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 70
Mapenzi ni kitu ambacho hakielezeki, yanaweza kukufanya ukawa kama mwendawazimu nusura ya kichaa. Mara tu baada ya kumaliza ndipo akili hukurudia na kitambua ulichokifanya sio.
Wala siwashangai wanaofanya kitendo hiko make ukiwaona ni watu wastaarabu katika jamii na wanaoheshimika.
Kuna wanaofanyia maofisini na sehemu zisizo rasmi, tatizo sio wao bali ni akili nyingine ya ziada na ya muda ndio huamua kufanya hivyo.
Muwasamehe bure
kwa muda ule akili ile ya kawaida huhama kichwani na sasa akili inabaki ile mhemko tu,alafu baada ya kagoli ka kwanza tu akili inarudi unajidharau na unamdharau yule ulie nae na hata wengine mapenzi huisha siku iyo hiyo baada ya ku do mara moja.huo muda ni kama akili huwa inahama mwili unakuja kushtuka baadae
kwa muda ule akili ile ya kawaida huhama kichwani na sasa akili inabaki ile mhemko tu,alafu baada ya kagoli ka kwanza tu akili inarudi unajidharau na unamdharau yule ulie nae na hata wengine mapenzi huisha siku iyo hiyo baada ya ku do mara moja.
nipeleke wapi? Cost? Inamdhuru nini mke wangu? Afterall hajui.