Kufanya mapenzi kwa simu

Shauri yako kama unaona sifa kutojua! !!!!

Kwani ibada kuwa nisipoifanya nitaingia motoni?
Kila mmoja kuna anavyovi furahia kunako game,miguno nitaisikia kwa phone na joto nitatumiwa kwa blue tooth?
Sijipaki shombo mie!!! Na import full package!!
 

wewe bado mkulima utajuaje mambo hizi? mimi nnamwaka mmoja nipo mbali na gf wangu lakini najiona kama nipo nae coz kwa njia hii inanisaidia sana tena kwa kiwango na speed.
kama unataka kufundishwa mapenzi haya ongea vizuri upewe somo
 

Mtimue huyo hana issue!
 
Kwani ibada kuwa nisipoifanya nitaingia motoni?
Kila mmoja kuna anavyovi furahia kunako game,miguno nitaisikia kwa phone na joto nitatumiwa kwa blue tooth?
Sijipaki shombo mie!!! Na import full package!!


Huko kwenu hamna mkaa,gesi wala umeme? ??!!!
Washa jiko then piga simu huku unaota moto utapata joto na miguno!!!!!
 
Hahhhahhhahhha hana aibu mbele yakoo makubwaaa
 
Ina maana Price hujawahi kusikia haya makitu..? Mbona yamekuwa common sana..? Imefikia wakati hata usiemfikiria na mwenye muonekano wa innocent & naive anafanya hii kitu inayoitwa fon sex.. Na mwisho wa siku wahusika wana-cum wote.. Ukiangalia kiafya haina madhara vile kutegemea hw u both play with ur vitendea kazi.. Inasaidia kupunguza hamu kwa kiwango fulani Price.. Ila kama ilivyo kwa ngono huwezi kumuambia mtu afanye..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…