It is not, nimeona couple za kutosha tu wakipitia wakati mgumu baada ya kurudi kuishi pamoja.
Haina tofauti na masterbation, tena wengi baada ya simu anaendeleza kwa kuwatch porn. It is very bad kwakweli. Niliacha before it was not too late, it was kwaresma like this time, na nikamuomba
Invisible aniondoe jukwaa la wakubwa.