Kufanya mapenzi kinyume na maumbile

Mbaya sana msifanye hivyo wengi wanajuta,ila hawasemi tu kwa wanauma baada ya muda flani uwezo wa kufanyaapenza utapungua sana,pia kuna magonjwa yatakujia kwenye uume wako kwa kuingikiwa na mavi kumbuka kinyesi ndio njia yake,kuna watu leo hawawezi tena kufanya mapenzi kwa mchezo huo wanatibu magonjwa kwa wanawake ni balaa kubwa na kinachofanya mwanamke atake tena ni muwasho anaopata maana mbegu za kiume hubaki kule ndani halafu Zinaoza sasa bakteria wanaozaliwa kule ndio wanawasha na ili kujikuna ndio hivyo,wengi wanaharibika vibaya sana tatizo hapa ni kama halipo kwa kuwa wengi huona aibu hawasemi lkn majuto makubwa sana,kisaikolojia ndio usiseme,nawaonya ktk JINA LA YESU msifanyw DHAMBI tena.
Sasa mkuu wote humu ni wakiristo tumia fact sio jina la yesu
 
0f0bce9b57c55c5fb55ebc0b926fcc6b.jpg
 
Mdomoni na viganjani ni sawa? Sahihi ni vile wawili wanavyokkubaliana, mimi na wewe tunatoa wapi ubavu wa kusema hawako sahihi/ Binadam anajifunza mambo mapya kila siku, zamani mwanamke hatii dushe mddomoni hata kwa panga, zamani zaidi ngono ilikuwa inafanywa chali tu, hebu sema position unazofanya na mkeo leo, mababu wangesema haram.
Makubaliano ya wawili chumbani kama hayakuletei kero ya namna yoyote ile hauna haki ya kuyafuatilia, huwezi kuwafundisha ngono binadamu, hata mbwa wako tu huwezi kumfundisha. Story za kulegea mishipa huwa siziamini kabsa, ingekuwa inalegezwa na mijivi.
Hahaha wazee wa kazi utawajua tu. Lakin all in all tuwaache watu na vyumba vyao. (Chumbani kuna siri)
 
Hii post na hili somo ni kitambo, nadhani 2024 mambo ni tofauti kabisa watu wananyanduana kama kawaida
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom