.......
Na km sitopata maelezo ya kutosha nitaungana na lile kundi linalopinga kuwa NASA hawakufika mwezini,ispokuwa wametengeza film km ile ya kuuliwa Osama bin Laden
kwenye mwezi wanasayansi.wameshafika. umbali kutoka duniani ni takriban kilomita 380,000. kwenye mwezi wanasayansi wameenda na si mara moja. mara ya kwanza walianza kutuma vyombo visivyo na binadamu na baadae wakatuma nyani na baadae binadamu akaenda baada ya nyani kurudi akiwa hai.Hi all members.
Kama tunavojua science imekua kwa kiwango kikubwa, mambo mengi ambayo hayakuwezekana mwanzo mwa karne zilizopita leo yanawezekana.
Laiti km wangerejea duniani wakazi wa miaka ya nyuma ambawo usafiri wa kifahari kwa enzi zao ni kutumia wanyama km farasi, ngamia nk leo watashanga kuona ndege, treni, gari na vipando vengine.
Niende kwenye mada husika, najiuliza lkn nakosa majibu labda inachangiwa kutokana na mimi sikuwahi kusoma masomo ya sayasi.
Na jiuliza hivi ni kweli kuwa wanasansi wamefanikiwa kufika mwezini? Na kama wamefanikiwa wametumia njia gani kufika? Na kama wamefanikiwa kufika jee wametumia njia gani kurudi duniani?
Nauliza masuala haya kwa sababu ndege ikitaka kuruka inatumia running way kukimbia na baadae kupaa kwa kucheza na upepo, na rocket inarushwa katika mitambo yake na hutoka kama vile bomu au risasi but nashindwa kujua hivi chombo kinachotumiwa kufika kwenye mwezi wakati wa kurudi,huruka km ndege i.e aircraft, helcopter au rocket na km inaruka km ndege je mwezini kuna running way ya kurukia au kuna vituo vya kurushia rocket au unarudi km vile umepanda mti mrefu na unajiachia unafika chini (unakuja duniani kutoka mwezini) au inakuaje?
Naomba member wanafahamu wanifahamishe.
Maelezo yako mazuri, sasa chombo kikituwa huko mwezini kina anguka tu kama nazi au tunda kutoka mtini bila ya kuumia kwa reason kuwa kinakosa uzito? Kwa hio wale watu wanaotembea huku wameshika magongo kwenye mwezi jee wanaweza na wao kuruka? Kwani na wao huwa ni wepesi kulingana na maelezo yako? Na hicho chombo kikitua huwa hakivunjiki au kuumia kutokana na mchanga au hayo mawe ya mwezini?kwenye mwezi wanasayansi.wameshafika. umbali kutoka duniani ni takriban kilomita 380,000. kwenye mwezi wanasayansi wameenda na si mara moja. mara ya kwanza walianza kutuma vyombo visivyo na binadamu na baadae wakatuma nyani na baadae binadamu akaenda baada ya nyani kurudi akiwa hai.
kwanza tambua kuwa mwezi upo duniani. ni satelite ya asili inayozunguka dunia.
chombo kikitoka hapa kwenda mwezini kinatoka kwa kasi kubwa na accelleration isiyopungua. chombo kikishaachana na uso wa dunia kinazidi kupoteza uzito hadi mwishowe kinakuwa hakina uzito kabisa kutokana na kuiacha gravity ya dunia..
kwenye mwezi chombo kinatua katika uso wa mwezi ambapo sehemu kubwa ni mawe na mchanga.
chombo kurudi kinarudi kama ndege aina ya Jet. kwani kurudi hakuhitaji nguvu kwani huko mwezini hakuna gravity bali gravity ipo towards dunia so chombo ni kama kinavutwa na dunia.
mwezi ni mkubwa ingawa si kama dunia au sayari nyingine. Unapokuwa mwezini ni kama upo kwenye dunia isiyo na miea wala viumbe hivyo hautauona ukiwa duara na pia hutaona kwamba hapa ndio mwanzo na pale ndio mwisho. Chombo kikienda mwezini kinatumia mahesabu ya muda,mwendo kasi na direction hivyo wakati unatoka duniani kwenda mwezini hauuelekei mwezi moja kwa moja bali unaenda katika point ambayo utakapofika mwezi utakuwa umekusogelea. Ukiuelekea mwezi moja kwa moja kutoka duniani hutaufikia kwasababu mwezi unatembea na wewe utakuwa unafukuzana nao.Maelezo yako mazuri, sasa chombo kikituwa huko mwezini kina anguka tu kama nazi au tunda kutoka mtini bila ya kuumia kwa reason kuwa kinakosa uzito? Kwa hio wale watu wanaotembea huku wameshika magongo kwenye mwezi jee wanaweza na wao kuruka? Kwani na wao huwa ni wepesi kulingana na maelezo yako? Na hicho chombo kikitua huwa hakivunjiki au kuumia kutokana na mchanga au hayo mawe ya mwezini?