Kufail kwa maxicom siku nzima

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,158
Reaction score
2,709
Leo nmepteza siku nzima narudishiwa transanctions zangu zote na tigopesa baada ya maxicom kushindwa kuhandle miamala na kusababisha pesa kutokufika sehemu husika , hili nilijibiwa na watu wa tigo cust care ambao walisema wao wakikata pesa inakwama kwenye bridge inayounganisha upande wa pili ambao ni maxicom,hiii natoa kama changamoto kwa watu wa it ni aibu kwa taasisi inayohusika na pesa kufail kufanya miamala hata kwa sekunde 50 its big loss....hebu kupatikane na mmbadala atakaeleta ushindani ili kue na discipline kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…