kipusi
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 443
- 75
Wanafunzi wengi hawawezi kuwa wagunduzi na wala kufikiri kutokana na kuathirika na mionzi ya mitandao!, kwani watu wengi kwa sasa wanatumia simu za android ambazo kwa kiasi kikubwa zinadumaza uwezo wa kupambanua mambo na kumbukumbu, kutokana mionzi iingiayo kwenye simu kupitia internet, ujio na utumiaji mbaya wa technolojia ni janga kwa taifa na jamii. Kutatua hili ni kuepukana na matumizi ya mtandao yasio ya lazima.