Sasa inakuwaje wanawalaumu wanaume kiasi mpaka mtu unatamani uhusiano uishe tu...
Hofu ya wengine ni kwamba eti wakipigwa tongozo wao ile mzuka ya mambo yetu inaslow down?
[/QUOTE]Kama style zako ndo izo na airisha tongozo asee, mie nataka uwe unanikodolea machoQUOTE=tabibumtaratibu;10420544]hahaha we njoo tu, uone jinsi ntakavyokula kucha na kukata nyasi...
Ogopa sana mwanamke akikutongoza anakuwa king'ang'anizi mwanzo mwisho tena wanasumbua balaa usiombwe ukutwe na hili balaa bora siye men ukitoswa unasepa zako kutafta mwingine lakini wao simu hadi usiku wa manane zinapgwa