Kila la heri brooooooda!!! Siku ukiachana na uchekibobu na ukaheshimu watu basi utarudi kwenye siasa. Fahamu watz sasa wanaendelea kufunguka macho kidemokrasia na walishajua kuwa hata kama utapokea rushwa yoyote hakuna anayekuona kwenye chumba cha kupigia kura "KULA CCM KURA CHADEMA". Not always, money is powerful!!! much more attributes are needed!!
hivi nilivyo mwona jk na masha kwenye kampeni na nyomi ya watu kumbe walikua wameenda kushaanga tu mkwere na wanamziki wake ila moyoni wana hasira kali!kweli watu wameamua!kabaaaaaaaaaaag
Huyu bwana mdogo amepata disprini.
Kashazoea kubebwa bebwa tu.
Bila shaka Reginard Mengi amefanya sherehe fupi ya kushangilia anguko la Masha.
Dili la Vitambulisho limeyeyuka..... teh teh teh
Huyu Waziri ndio yule aliyekuwa anashindana na mkurugenzi wa makampuni ya IPP au ni mwingine?
Naona vyombo vya ITV vinarusha sana matokeo ya Mwanza.
Naona Bw Regnald Mengi atakuwa na raha sana pale Moshi Machame.