Kuepuka aibu..Masha! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuepuka aibu..Masha!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kisima, Nov 1, 2010.

 1. Kisima

  Kisima JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 3,768
  Likes Received: 2,226
  Trophy Points: 280
  Taarifa za jikoni zilizonifikia Masha akabidhi mizigo ya ukurugenzi wa Emma Advocates kwa binti Karume!! Ajiandaa kutimkia USA alikokulia!!! Hahaa aibu yake hiiiiii!
   
 2. M

  Mugerezi JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 28, 2007
  Messages: 454
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Anadeserve kushindwa. Jamaa ana issue aende amuombe ubunge wa kuteuliwa.
   
 3. 255Texter

  255Texter Senior Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 31, 2007
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ITV wametangaza rasmi kwamba Wenje ameshinda kwa kura 58,000 dhidi ya 27,000 za Masha. Kweli hapo hata kuchakachua isingewezekana.
   
 4. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  :A S angry::A S angry::A S angry::bowl:
   
 5. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  HIyo kweny red ni 58,000+ au ni 38,000+? Tupe figure sahihi
   
 6. Ikimita

  Ikimita JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 302
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Good. Jamaa kama vile alijua kuwa angeshindwa maana yake alihangaika hangaika na pingamizi dhidi mpinzani wake kama hana akili nzuri :smile:
   
 7. Sir John

  Sir John Senior Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi nilivyo mwona JK na masha kwenye kampeni na nyomi ya watu kumbe walikua wameenda kushaanga tu mkwere na wanamziki wake ila moyoni wana hasira kali!kweli watu wameamua!kabaaaaaaaaaaag
   
 8. U

  Uswe JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  watapokutana
  JK: pole, hiyo ni ajali tu ya kisiasa
  MASHA: asante, ila. . . .
   
 9. jyfranca

  jyfranca JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Masha aende akatafute Miss Tanzania wakulala nae
   
 10. Mchizi

  Mchizi JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 672
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 180
 11. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Habari ya zamani mwanzoni mwa kampeni wakati alipojitangazia kuwa amepita bila kupingwa
   
 12. RR

  RR JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Mkuu utaswekwa lupango....huyu babo ni waziri wa mambo ya ndani ati...:smile:
   
 13. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kila la heri brooooooda!!! Siku ukiachana na uchekibobu na ukaheshimu watu basi utarudi kwenye siasa. Fahamu watz sasa wanaendelea kufunguka macho kidemokrasia na walishajua kuwa hata kama utapokea rushwa yoyote hakuna anayekuona kwenye chumba cha kupigia kura "KULA CCM KURA CHADEMA". Not always, money is powerful!!! much more attributes are needed!!
   
 14. m

  mimimwenyewe New Member

  #14
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JAmani acheni masihala ebu sikilizeni vizuri,kwa nini amesema hakuna tena uchaguzi wa mbunge nyamagana? Mnauhakika na hiyo ahbari kwamba ni ya zamani? au ndo mambo ya uchakachuaji yamefanyika?
   
 15. B

  Bumela Senior Member

  #15
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hahahahahahaha uwaziri tena? Hayo asahau.
   
 16. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,014
  Likes Received: 416,604
  Trophy Points: 280
  Hizo ni habari za kale kabisa...sijui kwa nini zimewekwa hapa......................
   
 17. S

  SUWI JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mimi aliniudhi sana huyu waziri masha alivyotaka kutumia cheo chake kummaliza mtz mwenzake eti sio mtz... nawapa heko wazt wa jimbo hilo kwa kuukataa udhalimu huu...:doh::doh::doh:
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  mbona alikuwa anatetemeka!!!
   
 19. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Dili la Vitambulisho limeyeyuka..... teh teh teh
   
 20. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
Loading...