we noma umecopy jf vile vile.
Mi nakupa ushauri tu kama unaamua kuwa na forum unatakiwa uwe na vitu vi 3.
-hela kwa ajili ya domain na support za script na customization
-expert wa kujaza topics za maana
-commitment kwenye forum yako na consistency kila siku uwe unaihudumia hadi hapo itapopata umaarufu.
Ila wewe vitu viwili vya kwanza huna so naona mwisho wa hio forum upo karibu hadi utapovitimiza