hili la kuwa atazaa mtoto mlemavu si kweli ni gia ya kupata uhalali wa kutoa na kufanya kitu kibaya sana kisa hakutaka kuzaa wakati alishirikingono bila tahadhari
Jamanieee wanaume hamsomekiii maana kama mtu anasomeka hayo yanakujaje? Chanzo ni wewe mwanaumee ujui nini utakacho. Mi namuunga mkono maana mtu anamtoto mwngne hakijaelewekaa... wewe unamtumia uelewekii sasa unadhani yeye awazi???