Kuelekea Valentines day nimeamua kuonyesha 'love' kwa hawa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
60,044
119,617
Kutokana na kwamba Jumapili hii ni SIKU YA WAPENDANAO basi binafsi nimeona si vibaya nikionyesha MAHABA yangu ya ki Valentino kwa members hawa wa JF kwani hakika wamekuwa WAKINIKOSHA hasa kwa mambo mbalimbali:
FaizaFoxy
miss chagga
Vitaimana
Amavubi
mkolaj

Ila pia nisifiche kusema kuwa members ambao hata iweje siwezi kuwapa salamu zangu za Valentines hata iweje ije jua au mvua kutokana na sababu hata nisizozijua pia ni hawa:
Nifah
Mussolin5
UncleBen
mshana Jr
Victoire

Si vibaya na wewe ukachukua fursa hii kumtakia au kuwatakia Valentines njema members unaowapenda na kuwatunuku humu JF lakini pia unaruhusiwa kuwataja hata wale ambao hawatapata salamu zako za Valentines.

Karibuni.
 
Kutokana na kwamba Jumapili hii ni SIKU YA WAPENDANAO basi binafsi nimeona si vibaya nikionyesha MAHABA yangu ya ki Valentino kwa members hawa wa JF
kwani hakika wamekuwa WAKINIKOSHA hasa kwa mambo mbalimbali:
FaizaFoxy
miss chagga
Vitaimana
Amavubi
mkolaj

Ila pia nisifiche kusema kuwa members ambao hata iweje siwezi kuwapa salamu zangu za Valentines hata iweje ije jua au mvua kutokana na sababu hata nisizozijua pia ni hawa:
Nifah
Mussolin5
UncleBen
mshana Jr
Victoire

Si vibaya na wewe ukachukua fursa hii kumtakia au kuwatakia Valentines njema members unaowapenda na kuwatunuku humu JF lakini pia unaruhusiwa kuwataja hata wale ambao hawatapata salamu zako za Valentines.

Karibuni.
Salamu zangu za Valentine zimwendee Nifah!
 
Id yangu Kilatino inamaanisha MCHAWI MDOGO HALAFU KIBOKO je mkuu utaniweza? Kanishindwa Nifah na Mussolin5 KUNIROGA wewe utaweza? Jiangalie au unataka nikupandishe juu ya dari sasa hivi?
Naelewa vizuri maana ya jina lako bahati moja mbaya nina ulinzi wa kutosha nakula sana Ganja ,kuna chumvi kibao niko nazo hapa ,bila kusahau ujuzi wa jamaa wa limao na pini saba hivyo utakua visible kwenye rada yangu na mwisho kabisa nina mfupa wa nguruwe ,ukifanikiwa kupita hizo ngome nakuruhusu uniloge
Vyote hivi ni kwa hisani ya Mshana Jr na MziziMkavu
 
Sasa ndugu yangu hawa viumbe walivyo jaa mtaani kuna haja gani ya kujitesa hivi na IDs kibao , ila pamoja na yote ni entertainer mzuri humu Jf

Nani huyo mkuu? Kumbe kuna watu humu JF bado tu wanatumia ID zaidi ya moja? Hivi ni kwanini wanakuwa hivi? Hawajui kuwa WANATUCHANGANYA? Mkuu naungana na wewe kabisa kwani kuna wegine tumeshawazoea na ID zao ZOEFU humu sasa wanapokuja tena na mpya kiasi fulani ZINATUTESA. Kwanini hivi wasiwe tu kama mimi La Brujita mwenye ID hii hii tu humu JF tokea nijiunge humu mwaka jana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom