Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,802
- 1,606
Safi sana, usisahau siku ya kupiga kura, ueksesaizi right ya huyo rafiki yako ya kuchovya wino, ukifika kwenye kuchovya kidole, chovya viwili.View attachment 15558
Mimi na best friend wangu tupo tayari kuitetea Tanzania:hippie::hippie::hippie:
Safi sana, usisahau siku ya kupiga kura, ueksesaizi right ya huyo rafiki yako ya kuchovya wino, ukifika kwenye kuchovya kidole, chovya viwili.
safi sana,tafuta watu wa5 basi wa kuongozana nawe kama sio zaidi ya hapo
Big up Maria Roza.Tulikuwa watu zaidi ya 7 wakikubali nitaweka pic zao:A S-rose:
Big up Maria Roza.
Rafiki yako naye atapiga kura?View attachment 15558
Mimi na best friend wangu tupo tayari kuitetea Tanzania:hippie::hippie::hippie: