Ndugu yangu Magezi hivi kumbe ukipingana na mawazo ya Waasisi au kuchukua fomu kushindana na Mwenyekiti basi wewe moja kwa moja unakuwa labelled 'kibaraka wa CCM'?,kwa mtaji huu Tanzania itafika kweli? Ndugu yangu stereo typing ni dhambi kubwa ya ubaguzi ambayo mwisho wake huwa ni disaster and for your sad information ndo tayari mbegu ya ubaguzi ishapandwa CHADEMA,tusubiri mavuno. Unless of course uniambie kwamba Zitto ana akili ya kushikiwa,hapo nitakuelewa Mkuu.ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI MBOWE,ZIDUMU,ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI,ZIDUMU,CHADEMA HOYEEEE,HOYEEEE!!Lakini na mimi japo nilimwamini zitto ktk hoja zake naanza kuingiwa na wasiwasi hasa nikijaribu kukumbuka alivyo handle issue ya dowans. Najiridhisha kabisa kuwa kuna mkono wa CCM nyuma ya zitto, lakini namkumbusha tu kuwa akumbuke Dk. Masumbuko lamwai walivyo mtenenga CCM na leo kawa bubu. Zitto, kama ulikula mlungula juu ya dowans, basi iache CHADEMA uende zako make isiwe taabu.
Tunao vijana akina Mnyika watafanya kazi tu.
Mkuu wangu kuoa ni part ya responsibility ya Kiongozi...
Of course Mzee Mwanakijiji is speechless,hata ungekuwa wewe in his position ungekuwa flabbergasted.Jamani hivi Mzee Mwanakijiji upo? sijaona mchango wako ktk hili sakata la zitto
Bluray,
Mkuu wangu kuoa ni part ya experience ktk responsibility ya Kiongozi..Sasa ikiwa wewe hutaki kuoa kwa sababu ambazo hazijulikani na pengine ni siri yako basi bila shaka hata ktk Uongozi wa chama sii siri teana ya wananchama kukuwekea shaka wewe na Ukapela wako.
Haya maswala ya ubaguzi wa rangi kabila namengineo mkuu wangu tunayauvuta sisi wenyewe..kwa sababu sioni kama kuna Ubaguzi wowote ikiwa dada yangu akikukataa wewe kwa sababu wewe sii Mkerewe au Muislaam ila ni chaguo lake na ana kila haki kumchagua mume ampendaye kumgongoza...
Posa kuzuiliwa mlangoni haina maana hupendwi au unachukukiwa isipokuwa zipo sababu nzito zaidi ya chuki na Demokrasia ambazo zinaweza kuondoa posa yako mlangoni ikiwa ni pamoja na huwezi kumchumbia dada yako mwenyewe..
Of course Mzee Mwanakijiji is speechless,hata ungekuwa wewe in his position ungekuwa flabbergasted.
Ngabu,Hapana Bob! Sidhani kama kuoa ni wajibu au jukumu la kiongozi. Wajibu na majukumu ya uongozi ni kuongoza. Maisha binafsi hayana uhusiano na uwezo wa kuongoza unless yanaingilia uwezo wako. Kwa mfano ulevi wa kupindukia....lakini ukapera....hapana Bob. Hilo sioni uhusiano wowote. Kuna mifano mingi tu ya viongozi wazuri duniani ambao maisha yao ya ndoa yaliwashinda lakini waliweza kuongoza vizuri tu.
Ngabu,
Nafikiri hukunielewa.. Naposema Kuoa ni wajibu na jukumu la kuongoza nachukulia ktk mapana ya ndoa hiyo yaani mume unakuwa kiongozi ktk familia ambayo ina malengo yake ikiwa ni pamoja na majukumu mengi sana. Kapela mkuu wangu haongozi kitu zaidi ya kivuli chake mwenyewe hivyo hatua ya Uongozi inaweza kuanza majumbani. nikiwa na maana huwezi kudai kufika chuo Kikuu kama hujawahi hata kuingia shule uya Msingi..
Je, Kujitoa Kwako Kugombea Uenyekiti Kunajenga au Kunabomoa Chama?
Ndugu Zitto Kabwe (MB),
Nimeamua kukuuliza swali hili la wazi kwa faida ya Jamii ya Kitanzania kwa ujumla. Ningeweza kukuuliza kwa faragha ila kufanya hivyo kungenisaidia mimi binafsi. Naamini suala hili linapaswa kujadiliwa kwa uwazi na ukweli.
Nilikuwa safarini hivyo nilipitiwa na hizi taarifa za wewe kujitoa kugombea Uenyeketi. Leo baada ya kusoma taarifa hizo katika za Vyombo vya Habari nimepigwa na butwaa. Swali kuu nalojiuliza ni, je, kujitoa kwako kutasaidia kuleta huo umoja ndani ya chama chenu au ndio utakigawanya zaidi?
Swali hilo kuu linazaa maswali haya mengine ambayo naomba uyajibu:
1. Je, hukuona kuwa utakigawanya chama ulipochukua fomu?
2. Je, huoni kuwa ni hatari kubadili msimamo mzito kama huo?
3. Je, haionekani kuwa umewasaliti waliokuomba ukagombee?
Ndugu nitashukuru kama utanijibu maswali hayo ili nisibaki naamini kuwa hata hicho 'chama kina wenyewe'!
Wasalaam,
Mpiga Kura
Bluray: Sasa sijui unampre-empt Zitto au ndio unamuandalia mapito ili ajieleze vizuri.
wazi.
Ngabu,
Nafikiri hukunielewa.. Naposema Kuoa ni wajibu na jukumu la kuongoza nachukulia ktk mapana ya ndoa hiyo yaani mume unakuwa kiongozi ktk familia ambayo ina malengo yake ikiwa ni pamoja na majukumu mengi sana. Kapela mkuu wangu haongozi kitu zaidi ya kivuli chake mwenyewe hivyo hatua ya Uongozi inaweza kuanza majumbani. nikiwa na maana huwezi kudai kufika chuo Kikuu kama hujawahi hata kuingia shule uya Msingi..
Unaweza ukajiita critical thinker or independent thinker; haileti tofauti yoyote ila ni wazi kwenye hili unatetea UPUPU maana hata pumba ni bora angalau nguruwe wanaweza wakala.
Mkuu Kapela anayesaidia jamii yake ni Msaidizi, sii jukumu lake kwani yeye ana maisha yake kama vile tunavyotegemea Misaada ya IMF.. IMF haipo responsible na maendeleo au well being ya nchi yetu isipokuwa yule anayekuwa committed na tunaweza kumhukumu kwa makosa yake ya dhamana alokabidhiwa..Vipi Kapela ambaye yupo involved kichizi katika community yake, anatafutia misaada shule, anashiriki kusafisha mitaa etc etc na mwanafamilia ambaye ni mlevi na deadbeat dad, nyumbani haonekani, anampiga mkewe, matusi mdomoni etc.
Nani yupo more qualified kuwa kiongozi kati ya hawa wawili?
..binafsi naona Zitto is not ready and has been wavering in a lot of issues. miezi michache iliyopita alikuwa ameamua kuachana na siasa na kwenda kuchukua PhD. baadaye akabadilika akasema anarudi kugombea ubunge Kigoma kaskazini. sasa hivi anakuja tena anasema anataka kugombea na Uenyekiti wa Chadema.
True true....he's a flip-flopper. He can't make his damn mind about what he wants. One minute he says he's quitting politics to focus on school...the next minute he says no..I'm going to run....now he wants to run for the chairmanship of his party....then he withdraws his name....
I don't know which is which with him. Decide on one thing and stick with it. Come on Zitto...you need to make up your damn mind and stop confusing folks.

Companero said:Ndugu Zitto Kabwe (MB),