Kuelekea uchaguzi mkuu CHADEMA: Mkakati wa adui ni huu hapa

Ninavyowafahamu ACT wanaojificha Chadema kwa Tabora ni Amatus Irumba huyu ni diwani kata ya Urambo mjini Chadema, Bwana Hasani Shushi diwani kata ya Vumilia Urambo na huyu Bwana Kansa Mborouck wote hawa walishakaa kikao na Zito kule Kalaiua mwaka jana na Urambo Chadema tayari imeshawavua nyanzifa zao zote kwa sasa ni wanachama wa kawaida ila walipewa onyo kali ambalo kama wakiendelea na mchezo wao mchafu watafukuzwa uanachama na kupoteza viti vyao vya udiwani, tayari Urambo walifanya u chaguzi wiki mbili zilizopita uchaguzi ulikuwa huru na wa haki uliosimamiwa na Bwana Mrema na kwa Urambo hali sasa ni shwari bado Tabora mjini akofanya fujo bwana Mbarouck na Chadema inatakiwa kumchukulia hatua kali na kwa haraka sana maana mtoa mada yuko sahihi sana

Nakushukuru sana kwa ufafanuzi makini.

Natoa wito vikao vya chama huko Tabora vikutane haraka vimfukuze huyu msaliti Kansa Mbarouk...
 
You think you're doing CHADEMA a favor with this gutter politics while in fact you are flushing the party down the toilet. Good luck!!
 
Hivi kugombea uenyekiti taifa chadema ni kosa? Sasa uchaguzi wa nini kama watu wanazuiwa kugombea? nini maana ya demokrasia?

Naomba uninukuu sawasawa kwamba Kamwe Asilani Chadema haitaruhusu Vibaka wa demokrasia kugombea uongozi kupitia chama hiki.

Hilo nakuhakikishia HATUTARUHUSU.
 
Dah! Yaani kuchukua fomu tu nayo pia nongwa.

Msipindishe mjadala. Hatujadili haki ya mtu kugombea. Tunajadili mikakati inayosukwa kwa kujificha kwenye haki ya kugombea.

Hapa thread hii inalenga kufumua mkakati mzima unaopangwa na CCM kisha kuwatumia watu kwa kujua au bila wao kujua.

Kwa hiyo yoyote anaempinga mbowe ni msaliti?

Mwanachama yeyote safi na asiye na DOA la usaliti anaruhusiwa kugombea uongozi wowote.

Lakini hatutaruhusu mchumia tumbo yeyote kutoka CCM mfano wa Kansa Mbarouk kugombea.

HATUTARUHUSU
 
Fitina zote hizi mnazozileta ni kutaka kumtengenezea mbowe njia na kuwazuia wengine kutofukuta ktk uchaguzi na huku mkiwatageti waislamu na wasio wachaga.
 
You think you're doing CHADEMA a favor with this gutter politics while in fact you are flushing the party down the toilet. Good luck!!
Kama unaumia endelea kuumia kwani kuendelea kukaa kimya kwa mbinu na mikakati ya hovyo kama hii ni kuendelea kuliumiza taifa , sita kaa kimya wanafiki na Mamluki wote nitawaumbua .......
 
Fitina zote hizi mnazozileta ni kutaka kumtengenezea mbowe njia na kuwazuia wengine kutofukuta ktk uchaguzi na huku mkiwatageti waislamu na wasio wachaga.

Afadhali umejileta mwenyewe kuongea upumbavu kama huu..

Mmechemsha.Kamwelezeni huyo Tapeli Mbarouk mliyemtuma akajipange upya!!
 
Fitina zote hizi mnazozileta ni kutaka kumtengenezea mbowe njia na kuwazuia wengine kutofukuta ktk uchaguzi na huku mkiwatageti waislamu na wasio wachaga.
Huku ndio mume elekeza risasi .......nimesema hoja za udini , Ukanda etc ......
 
Huku ndio mume elekeza risasi .......nimesema hoja za udini , Ukanda etc ......

Na kwa bahati nzuri ndani ya jukwaa hili kuna watu wasio na woga kungea maovu na ubaguzi wenu wa kidini,kikabila na kikanda.
 
Afadhali umejileta mwenyewe kuongea upumbavu kama huu..

Mmechemsha.Kamwelezeni huyo Tapeli Mbarouk mliyemtuma akajipange upya!!

Molemo.
Kitu unachotakiwa kujua nikuwa kamwe Watanzania hawatokuja hata siku moja kuruhusu WAPIGA DILI kama nyinyi kuliongoza Taifa ila chama chenu kitumieni tu kujipa ajira na kulisha familia zenu lakini Taifa hili la Waislamu na wakristo halitoruhusu chama cha kidini au kinachotumia wakristo kugain power kuliongoza taifa hili. Ishieni hukohuko uchagani kwenu na makanisani kwenu mnakoungwa mkono.
 
Na kwa bahati nzuri ndani ya jukwaa hili kuna watu wasio na woga kungea maovu na ubaguzi wenu wa kidini,kikabila na kikanda.

Wewe na huyo Kibaka wenu Mbarouk mkajipange upya.

Wimbo huu umechuja sasa tafuteni single mpya.
 
Back
Top Bottom