Kuelekea Uchaguzi 2019/2020

Kuelekea Uchaguzi 2019/2020

G5crank

Member
Joined
Nov 26, 2011
Posts
77
Reaction score
99
Nadhani mutakubaliana na mimi kama Tanzania na watanzania bado wanakihitaji Chama hiki kuwaongoza ndani ya nusu karne nyingine ijayo.
FB_IMG_1558999942345.jpeg
 
Vyama vya upinzani vya tz vimejikita sana kwenye kukosoa,wakati wanapokuwa bize na kupingapinga kila jambo,ccm kupitia john magufuli inaendelea kurekebisha mambo na kuleta maendeleo lukuki kwa watanzania ,mwisho wa Siku watakaporudi kwenye sela watakuta ccm imesha maliza kilakitu na watanzania hawatawaelewa,hapo ndio ccm inapopata chansi ya kuendelea kuaminiwa na wananchi nakupewa nafasi yakuendelea kuongoza,ndo hivyo tu.
 
Hata me nafikiri ccm kitashinda tena uchaguzi cos Tanzania tuna vyama vya ovyo vya upinzani sijapata kuona vimejikita zaidi kufanya siasa za matukio na kupinga Kila kitu itafikasehemu wataanza kupinga hata jinsia za watu pia havina mikakati mizuri,havina misimamo,vyama venye wenyekiti wa kudumu lkn unashangaa hao ndo wa Kwanza kudai democracia wakati vyama vyao havina democracia yaani hivi vyama vipo vipo tu.Binafsi napenda mabadiliko ya uongoz kutoka chama kimoja kwenda kingine lkn sio kwa hivi vyama vya upinzani vya Sasa Bora ccm iendelee angalau wanauhafazali kidogo kuliko upinzani.
 
Najua kuwa na bifu na chadema hai hondoi uhalisia wa kukubali kwa wapenda demokrasia na maendeleo bora shirikishi
 
Mzee baba me sina chuki na chama chochote Cha siasa ila ninaongea vitu vyenye uhalisia haijalishi inamfurahisha chama Fulani au inamchukiza chama fulani.sikiliza mzee utamaduni wa kisiasa ni lazima chama Cha kisiasa kiongoze nchi na Wala sio mtu ambaye Hana chama,sawa we unaweza kupenda democracia je VP hivyo vyama vinavyotaka kuongoza nchi vinapenda democracia unayotaka wewe?
 
Vyama vya upinzani vya tz vimejikita sana kwenye kukosoa,wakati wanapokuwa bize na kupingapinga kila jambo,ccm kupitia john magufuli inaendelea kurekebisha mambo na kuleta maendeleo lukuki kwa watanzania ,mwisho wa Siku watakaporudi kwenye sela watakuta ccm imesha maliza kilakitu na watanzania hawatawaelewa,hapo ndio ccm inapopata chansi ya kuendelea kuaminiwa na wananchi nakupewa nafasi yakuendelea kuongoza,ndo hivyo tu.
Wewe ulitaka wampongeze mamayako punga wew utakua umevalishwa shanga.
 
Hata me nafikiri ccm kitashinda tena uchaguzi cos Tanzania tuna vyama vya ovyo vya upinzani sijapata kuona vimejikita zaidi kufanya siasa za matukio na kupinga Kila kitu itafikasehemu wataanza kupinga hata jinsia za watu pia havina mikakati mizuri,havina misimamo,vyama venye wenyekiti wa kudumu lkn unashangaa hao ndo wa Kwanza kudai democracia wakati vyama vyao havina democracia yaani hivi vyama vipo vipo tu.Binafsi napenda mabadiliko ya uongoz kutoka chama kimoja kwenda kingine lkn sio kwa hivi vyama vya upinzani vya Sasa Bora ccm iendelee angalau wanauhafazali kidogo kuliko upinzani.
Wewe umetembea wapi ukawaza kulinganisha na Tanzania kuwa ni vya hivyo utakua umef. rwa wew punga, by the way subirin mtaona 2020.
 
Kuwe na tume huru ya uchaguzi,ndio mtajua kama ccm itaexist.
Tofauti na hapo endeleeni kujiliwaza
 
Vyama vya upinzani vya tz vimejikita sana kwenye kukosoa,wakati wanapokuwa bize na kupingapinga kila jambo,ccm kupitia john magufuli inaendelea kurekebisha mambo na kuleta maendeleo lukuki kwa watanzania ,mwisho wa Siku watakaporudi kwenye sela watakuta ccm imesha maliza kilakitu na watanzania hawatawaelewa,hapo ndio ccm inapopata chansi ya kuendelea kuaminiwa na wananchi nakupewa nafasi yakuendelea kuongoza,ndo hivyo tu.

Tusingeona wakurugenzi wakikimbia kupokea fomu za wagombea wa upinzani. Huu ukatili wa wazi dhidi ya wapinzani nyakati za uchaguzi usingekuwepo. Kutoka na mabox ya kura ndani ya vituo vya kupigia kura kwenda kujaza kura za ccm kwa utaratibu wa jeshi la polisi hayo yasingekuwepo.
 
Se
Nadhani mutakubaliana na mimi kama Tanzania na watanzania bado wanakihitaji Chama hiki kuwaongoza ndani ya nusu karne nyingine ijayo.View attachment 1128776
sema wewe unaona unahitaji chama hiki kuendelea kuiongoza nchi kama nionavyo mimi ila usiseme watanzania maana kuna wanaokipenda kama mimi na wewe ila kuna wasiokipenda pia ndio maana kuna ACT Wazalendo, Chadema au TlP etc etc
 
Back
Top Bottom