ArchAngel
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 4,513
- 3,764
Tell that to your chairman mr pombe magufuli. Kama kalamaganda kabugi a minister ni mpumbavu what does it make you?Adabu na heshima inatakiwa kama hauna chakukoment matusi siyahitaji
Tell that to your chairman mr pombe magufuli. Kama kalamaganda kabugi a minister ni mpumbavu what does it make you?Adabu na heshima inatakiwa kama hauna chakukoment matusi siyahitaji
Vyama vya upinzani vya tz vimejikita sana kwenye kukosoa,wakati wanapokuwa bize na kupingapinga kila jambo,ccm kupitia john magufuli inaendelea kurekebisha mambo na kuleta maendeleo lukuki kwa watanzania ,mwisho wa Siku watakaporudi kwenye sela watakuta ccm imesha maliza kilakitu na watanzania hawatawaelewa,hapo ndio ccm inapopata chansi ya kuendelea kuaminiwa na wananchi nakupewa nafasi yakuendelea kuongoza,ndo hivyo tu.
CCM bila msaada wa vyombo vya dola ni wepesi kuliko mfuko wa nailoni 😂😂😂Hata me nafikiri ccm kitashinda tena uchaguzi cos Tanzania tuna vyama vya ovyo vya upinzani sijapata kuona vimejikita zaidi kufanya siasa za matukio na kupinga Kila kitu itafikasehemu wataanza kupinga hata jinsia za watu pia havina mikakati mizuri,havina misimamo,vyama venye wenyekiti wa kudumu lkn unashangaa hao ndo wa Kwanza kudai democracia wakati vyama vyao havina democracia yaani hivi vyama vipo vipo tu.Binafsi napenda mabadiliko ya uongoz kutoka chama kimoja kwenda kingine lkn sio kwa hivi vyama vya upinzani vya Sasa Bora ccm iendelee angalau wanauhafazali kidogo kuliko upinzani.
Kalamaganda ya mirungi mkuu, matokeo yake KABUGIKalamaganda ya nini?![]()
Huu nao ni upuuzi wa kiwango kikubwa sana. Sina haja ya kutoa maelezo ya ziada.Vyama vya upinzani vya tz vimejikita sana kwenye kukosoa,wakati wanapokuwa bize na kupingapinga kila jambo,ccm kupitia john magufuli inaendelea kurekebisha mambo na kuleta maendeleo lukuki kwa watanzania ,mwisho wa Siku watakaporudi kwenye sela watakuta ccm imesha maliza kilakitu na watanzania hawatawaelewa,hapo ndio ccm inapopata chansi ya kuendelea kuaminiwa na wananchi nakupewa nafasi yakuendelea kuongoza,ndo hivyo tu.
Mtaji wa ccm ni ujinga wa watanzania. CCM ndiyo imtuletea umaskini tulio nao sasa. Miaka zaidi ya 50 tuko maskini kama tulivyo, lawama ziende kwa nani? Sera mbovu, ufsadi na rushwa, ndugu yangu tumlaumu nani? Napenda kukuhakikishia kuwa kama ccm itaendelea kutawala umaskini utazidi kupngezeka nchi hii. Dawa ni sera na mawazo mbadala.Hakuna kama CCM, kwasababu CCM ni Mama na Baba yetu.
Mtaji wa ccm ni ujinga wa watanzania. CCM ndiyo imtuletea umaskini tulio nao sasa. Miaka zaidi ya 50 tuko maskini kama tulivyo, lawama ziende kwa nani? Sera mbovu, ufsadi na rushwa, ndugu yangu tumlaumu nani? Napenda kukuhakikishia kuwa kama ccm itaendelea kutawala umaskini utazidi kupngezeka nchi hii. Dawa ni sera na mawazo mbadala.