Tarehe 23.08.2025 ni siku iliyotangazwa na Kanisa Katoliki Tanzania kuwa itakuwa ni kilele cha maombi makuu kuhusu HAKI na AMANI katika Nchi yetu.
Naomba kuwaalika Watanzania wote wenye mapenzi mema, watu wa Dini zote na imani zote za Makabila yote na wanaokerwa na vitendo vya uvunjifu wa haki katika Taifa hili tuungane pamoja kumlilia Mungu mkuu ili aweze kutenda mambo makuu katika Nchi hii. Kila mmoja aombe kwa namna yoyote ile kulingana na imani yake.
Kwa kumlilia Mungu mkuu asiyeshindwa jambo lolote, kwa hakika Mungu mkuu, Mungu mwenye haki na Mungu asiyeshindwa jambo lolote atatenda mambo makuu katika Nchi hii haijapata kutokea. Mambo makuu haya yanaweza kutokea kabla, wakati au baada ya unaoitwa uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Utukuzwe Mungu mkuu na Mungu mwenye nguvu na uweza usiomithilika.
Amina.