Mkuu kama ndonto basi usingizini usiku na siyo alfajiri mazoezi kama hayo hawana ubavu huwo yaani mpira wa kombe la mapinduzi kamasi ziliwatoka mpaka wakaenda kukopa mapesa kwa mfadhili na sijui kama hilo deni lishalipwa au ndio ule usimi wa wahenga kopa usilipe kwa baniani usipite