Hey! Expose your eyes baby.Girl be like, "mmh!,...Whatever"
Hey! Expose your eyes baby.
Haha, happy good Friday!, mnuso wa Easter wapi naomba mualiko. Lakini najua itabidi nipange foleni.
Clarification plz
Nipo kanisani hapa mimi wew [emoji16][emoji16]Lazima kuna watu tayari ambao wamenitangulia kuomba mualiko kwako.
Nipo kanisani hapa mimi wew [emoji16][emoji16]
Mwoga wa foleni saana wewHaha, YEAH RIGHT!...lol!
Nipo kanisani hapa mimi wew [emoji16][emoji16]
Hahaha..ujue nimeona jicho la huyo mdada nikajijuta nascroll hiyo avatar yako nione lakoUko kanisani wakati jicho moja liko wazi?, Daby wewe Mungu Anakuona ujue..
Vizuri lazima upigane ubanane ndiyo uvipate. Victory never come accidentally. Sina maana hiyo lknHehehe, acha tu. π
Hahaha..ujue nimeona jicho la huyo mdada nikajijuta nascroll hiyo avatar yako nione lako
Vizuri lazima upigane ubanane ndiyo uvipate. Victory never come accidentally. Sina maana hiyo lkn
Jamani Khaa!, si mpaka niwe na hivyo...lol
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125]pasaka hii iko tarh mbaya sana,, maana mishahara imeisha kabsa,, ila kwa hilo jicho lazima ateke wallet hata kama ina vumbi tupu