Yaani threads zingine zinanifanya nacheka kwa sauti hadi watu wananiona kama vile nimepagawa!
ahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Pasaka katikati ya mwezi pochi zooote zimejaa michanga. Dada zetu labda wawafuate wanajeshi, magereza na police ndo tarehe hizi posho zinaingia ila wenzangu na mie wapooooooole.