sawe6 JF-Expert Member Jul 31, 2014 559 365 Jun 26, 2016 #21 kuna taarifa nimezikuta kule Fb kuwa mechi ya kesho ni bureeeeeeee
mpenda arage JF-Expert Member Nov 10, 2015 1,673 3,793 Jun 27, 2016 #22 Mussolin5 said: Nishanunua jezi yangu ya Tp Mazembe Englebert! Jumanne mapema sana nipo Taifa na vuvuzela langu! Usiniulize nipo timu gani? Click to expand... Vuvuzela la rangi nyekundu!!
Mussolin5 said: Nishanunua jezi yangu ya Tp Mazembe Englebert! Jumanne mapema sana nipo Taifa na vuvuzela langu! Usiniulize nipo timu gani? Click to expand... Vuvuzela la rangi nyekundu!!
mkuzi JF-Expert Member Mar 17, 2013 1,627 1,454 Jun 27, 2016 #23 manji kasema mechi hii watu waingie bure kabisa
Turnkey JF-Expert Member Jul 9, 2013 7,359 5,831 Jun 27, 2016 #24 Mussolin5 said: Nishanunua jezi yangu ya Tp Mazembe Englebert! Jumanne mapema sana nipo Taifa na vuvuzela langu! Usiniulize nipo timu gani? Click to expand... Simba mnasajili wachezaji wote kwa 200m..Yanga mchezaji mmoja(chirwa) 200 m...manyoya kuweni wapole level tofauti kama barca na osasuna
Mussolin5 said: Nishanunua jezi yangu ya Tp Mazembe Englebert! Jumanne mapema sana nipo Taifa na vuvuzela langu! Usiniulize nipo timu gani? Click to expand... Simba mnasajili wachezaji wote kwa 200m..Yanga mchezaji mmoja(chirwa) 200 m...manyoya kuweni wapole level tofauti kama barca na osasuna