Kuelekea mtanange wa Yanga na Azam

miamia7

Senior Member
Jan 11, 2016
195
191
Wadau wa michezo na wafuatiliaji wa ligi yetu vpl ni wazi wanajua nini kinaendelea j mosi ni siku ya kuanza kutabiri japo kwa asilimia 48 nani atakua bingwa 2015/2016 kule mchangani mtanisamehe kidogo hapa naongelea timu za kimataifa zitapokutana karibuni kwa mawazo.
Ushauri wangu kwa plujin asimuanzishe tambwe nimepata taarifa kua wawa kampania sana hivyo aingie kipind cha pili na mawaziri wa ulinzi asibabaike wote ni balaa, karibuni taifa.
 
Azam atapigwa tu maana hakuna namna.
Jembe Ngoma ameshatua tayar nchini kuikabili Azam. Nadhani kikosi cha Yanga kitakuwa hivi hiyo Jumamosi.
1.Ally Mustapha " Barthez"
2.Juma Abdul Mnyamani
3.Hajji Mwinyi Ngwali
4.Vincent Bossou
5.Kelvin Yondan
6.Mbuyu Twite/ Pato Ngonyani
7.Simon Msuva/ Deus Kaseke
8.Thaban Scara Kamusoko
9.Amissi Tambwe
10.Donald Dombo Ngoma
11.Haruna Niyonzima

Sub.............
Dida
Oscar
Juma Makapu
Mwashiuya
Issouffou Bubacar

Kila la Kheir Yanga Hiyo kesho
 
Wadau wa michezo na wafuatiliaji wa ligi yetu vpl ni wazi wanajua nini kinaendelea j mosi ni siku ya kuanza kutabiri japo kwa asilimia 48 nani atakua bingwa 2015/2016 kule mchangani mtanisamehe kidogo hapa naongelea timu za kimataifa zitapokutana karibuni kwa mawazo.
Ushauri wangu kwa plujin asimuanzishe tambwe nimepata taarifa kua wawa kampania sana hivyo aingie kipind cha pili na mawaziri wa ulinzi asibabaike wote ni balaa, karibuni taifa.
Yanga wana striker gani wa kumpita Wawa?
 
naitakia Azam Ushindi wa kishindo , tofauti ya mabao iwe kama tofauti ya madiwani wa UKAWA na CCM ndani ya JIJI la Dar Es Salaam
 
Yanga wana striker gani wa kumpita Wawa?

Coastal Union wana striker gani aliyempita Wawa?

Angalia takwimu hapa chini, uone zinaongea nini:

Vodacom Premier League Table | The Official Website of Azam Football Club

Hakuna mechi hata moja ambayo Wawa hajacheza. Kwa takwimu hizi, Wawa ameshapitwa mara 11 na strikers wa mchangani tu, itakuwaje kwa strikers wa kimataifa? Strikers wa kimataifa tayari wamewaambia makipa 'walokote' kunyavu mara 44, watashindwa nini kuwalokotesha akina Wawa mara 3 tu?
 
Tatizo washabiki na viongozi wa Yanga.Akili zenu zinaongozwa na mjinga Jerry Muro.Kila anachosema mnafwata.Yanga ni timu ya Tanzania tu,haina hadhi ya kimataifa.
 
Yaani Four years mnaendakutalii bila mafanikio,mnajiita wakimataifa.Ugonjwa wenu wakuhonga mnashindwa nini huko mataifani? Tumewachoka bwana!
 
azam analala mapemaaa.............
Azam ni wepesi mno ila tatizo la Yanga ni kuridhika mapema, mechi nyingi wanatawala mchezo lakini wakipata goli moja tu kuongoza wanaanza kupoteza muda kwa kuamini wameshinda mpaka Azam wanasawazisha ndio wanashambulia tena wakati muda umeshaisha. Pia Msuva aambiwe ukweli tabia yake ya kutaka afunge yeye tu hata maeneo yasiyoruhusu ningekua kocha ningempa BAN kwa ujinga aliofanya kwenye gemu ya Simba.
 
Tunaongea fact vutaimana.Nini yanga wamefanya kimataifa mpaka tuwaite wakimataifa? Au ni ile mechi yenu na sc villa? Yanga si kitu kimataifa.Jiongezeni achenane na kauli za Murro.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom