Kuelekea kusomwa kwa Bajeti Kuu, Wakenya watakiwa kuwa tayari kutoa kwa ajili ya Baadaye

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Katibu wa Hazina, Njuguna Ndung'u amewaambia Wakenya wajiandae kujitolea kwa muda mfupi wakati bajeti kadiriwa ya Ksh. Trilioni 3.6 sawa na takriban Tsh. Trilioni 51.2 ya 2023/24 ikitarajiwa kuwasilisha Bungeni leo

Amesema serikali inakabiliwa na changamoto kubwa ya kugharamia miradi yake huku ikiendelea kupunguza kukopa, hivyo Wakenya wanapaswa kujitoa kwa muda mfupi ili tuweze kufikia malengo ya muda mrefu

Kwa sasa, deni la Kenya limefikia Ksh.1.6 trilioni sawa na takriban Tsh. Trilioni 27. 3, huku serikali ikipanga kukopa Ksh.720.1 bilioni zaidi, sawa na Tsh. Trilioni 12. 29 katika mwaka wa fedha ujao
......

Be ready to make some sacrifices, CS Ndung’u tells Kenyans ahead of budget reading

Be ready to make some sacrifices, CS Ndung’u tells Kenyans ahead of budget reading

Treasury Cabinet Secretary Njuguna Ndung’u. | FILE

Treasury Cabinet Secretary Njuguna Ndung’u has told Kenyans to be ready to make what he describes as short-term sacrifices as the 2023/24 Budget is tabled before Parliament.

Speaking to Citizen TV from his office on Thursday hours before reading the Ksh.3.6 trillion budget estimate, Ndung’u said the government is faced with an uphill task of financing its projects while also keeping the debt low.

“We have to have some short-term sacrifices for us to achieve the long-term. We have to sacrifice for the future,” said Prof Ndung’u, adding; “This administration started with two extreme problems: financing constraints for projects and we did not have headroom for debt.”

At present, Kenya’s debt is placed at Ksh.1.6 trillion and as the government plans to borrow Ksh.720.1 billion more in the next financial year, Ndung’u said the measures proposed in the bill have been thought-through and will not be punitive to Kenyans.

Source: Citizen Digital
 
Back
Top Bottom